Tunatengeneza furniture za epoxy na mbao

Mijicho

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2009
Posts
282
Reaction score
219
Wadau habari,

Karibuni kwa biashara
Sisi ni mafundi wa furniture ambazo zinatumia material za epoxy/resin zikichanganyika kitaalam na mbao na kuleta mvuto .

Tunapatikana maeneo ya makumbusho.

Naweka mfano wa baadhi ya furniture mniunge mkono.

Karibuni kwa dm tupeane mawasiliano na taarifa zaidi kwa ambaye yuko na haya mahitaji
 

Attachments

  • IMG_20231004_201627_207.jpg
    87.8 KB · Views: 5
  • IMG_20230908_095218_192.jpg
    92.9 KB · Views: 4
  • IMG_20230908_100521_831.jpg
    78.2 KB · Views: 8
  • IMG_20230908_094836_780.jpg
    51.3 KB · Views: 3
  • IMG_20230908_094508_587.jpg
    100.4 KB · Views: 10
  • IMG_20230908_092947_407.jpg
    86.1 KB · Views: 5
  • IMG_20230908_092505_212.jpg
    31.7 KB · Views: 7
  • IMG_20230908_091748_466.jpg
    56.2 KB · Views: 8
  • IMG_20230908_091335_388.jpg
    52.9 KB · Views: 6
  • IMG_20230908_090413_095.jpg
    45.2 KB · Views: 6
  • Screenshot_20230908-124853_Pinterest.jpg
    80.4 KB · Views: 4
  • IMG_20230908_120140_786.jpg
    26.7 KB · Views: 5
  • IMG_20230908_120553_267.jpg
    110.8 KB · Views: 8
  • IMG_20231004_222815_228.jpg
    119.8 KB · Views: 4
  • IMG_20231004_201526_699.jpg
    68.9 KB · Views: 8
  • IMG_20231004_202016_311.jpg
    153.2 KB · Views: 6
  • IMG_20231004_153413_953.jpg
    67.2 KB · Views: 5
  • Screenshot_20231004-152819_Instagram.jpg
    96.6 KB · Views: 9
  • Screenshot_20230919-193743_Pinterest.jpg
    28.3 KB · Views: 5
  • IMG_20230909_092021_604.jpg
    59.3 KB · Views: 5
  • IMG_20230908_121057_553.jpg
    65.6 KB · Views: 6
  • IMG_20230908_120734_085.jpg
    44.5 KB · Views: 6
Hongera sana, ofisi zenu wapi
 
Ubaya umeokota picha za watu.
Weka picha zako halisi kuliko kutumia picha za instagram
Halafu anasema yuko Makumbusho, na huko kunafahamika timu gani inachezea pande hizo, unapokwenda uwe na jicho la tatu picha zinaweza kuwa chambo kwa wakosoaji wa utawala
 
Halafu anasema yuko Makumbusho, na huko kunafahamika timu gani inachezea pande hizo, unapokwenda uwe na jicho la tatu picha zinaweza kuwa chambo kwa wakosoaji wa utawala
Tatizo lako linakusumbua ni ujuaji,sasa design zinaweza kutoka popote pale unapotaka hamna mahali wamekataza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…