- Thread starter
- #21
Ushamba ni mwingi hamna kitu unajua,wacha mtu afike ajionee ,hiyo mada ya picha zimetoka wapi ni irrelevant,saa zingine shule ni muhimu sana .Lowasa alisisitiza sana elimuSio kuchafua huo ndo uhalisia, we right click hiyo picha kisha search google image utaona