- Thread starter
- #41
Wewe ni nani kuamulia watu vitu vya kuweka kwenye thread ,fungua threads yako ndio uweke vitu unavyotaka,acha chuki ,kwa biashara za wenzako.Mkuu usiwe Mbishi, mimi pia nafanya Epoxy, kuna Nyuzi zangu humu, tu kwa sasa nipo nje ya nchi. wewe kufanya Epoxy furniture sio tatizo kwa Watu, tatizo umeokoteza Picha mtandaoni na kuzifanya kama ni kazi yako!
Hiyo inakuondolea Credit juu ya Uaminifu wako.
Nakushauri futa picha ulizotoa mtandaoni, weka picha zako, hata kama unazo picha 3 weka hizo, watu wataona kazi yako!
picha nimekuwekea za mwisho hizo nimekupa ruhusa usearch,na ziko nyingi tu .So far naona unaharibu biashara za wenzako ukidhani ndio ushindani,grow up ,market kubwa hii acha uoga we kupitwa