Tunatengeneza furniture za epoxy na mbao

Sio kuchafua huo ndo uhalisia, we right click hiyo picha kisha search google image utaona
Ushamba ni mwingi hamna kitu unajua,wacha mtu afike ajionee ,hiyo mada ya picha zimetoka wapi ni irrelevant,saa zingine shule ni muhimu sana .Lowasa alisisitiza sana elimu
 
Halafu anasema yuko Makumbusho, na huko kunafahamika timu gani inachezea pande hizo, unapokwenda uwe na jicho la tatu picha zinaweza kuwa chambo kwa wakosoaji wa utawala
Kwamba nidanganye kwa lipi hasa?
what if mtu alitaka kufika ofisini ?
Ntampelekea wapi,ifike mahali msitumie akili za makalio
 
Mkuu, mimi naomba kuuliza, je naweza kuja nikajifunza nikapata ujuzi ili mbeleni niweze kuanzisha ofisi yangu? Hata kama kuna gharama ya pesa nipo tayari kulipia.
 
Naomba kufahamu, hapo hizo picha zote umezipiga ukiwa ofisini kwako? Maana naona mara kuna tiles, nyingine swimming pembeni, nyingine chini kuna mbao, nyingine paving mara zege.
Au una ofisi nyinginyingi hapa Tanzania?

Ila nikupongeze kwa kazi nzuri.
 
Mkuu, mimi naomba kuuliza, je naweza kuja nikajifunza nikapata ujuzi ili mbeleni niweze kuanzisha ofisi yangu? Hata kama kuna gharama ya pesa nipo tayari kulipia.
Hii hata ukiingia youtube utapata ujuzi,ukitaka kufundishwa pia sawa njoo tuyajenge,hizi resin ndio bei juu kdg
 
Twenda search na hiyo pia ulete majibu


 
Kwamba nidanganye kwa lipi hasa?
what if mtu alitaka kufika ofisini ?
Ntampelekea wapi,ifike mahali msitumie akili za makalio
Mkuu usiwe Mbishi, mimi pia nafanya Epoxy, kuna Nyuzi zangu humu, tu kwa sasa nipo nje ya nchi. wewe kufanya Epoxy furniture sio tatizo kwa Watu, tatizo umeokoteza Picha mtandaoni na kuzifanya kama ni kazi yako!

Hiyo inakuondolea Credit juu ya Uaminifu wako.

Nakushauri futa picha ulizotoa mtandaoni, weka picha zako, hata kama unazo picha 3 weka hizo, watu wataona kazi yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…