Tunatengeneza na Kudesign logo, Business card, Websites Pamoja na Android Application

Tunatengeneza na Kudesign logo, Business card, Websites Pamoja na Android Application

Pia tunatoa huduma yakusajiri Domain pamoja na Kuhost Website kwa Gharama ya Kuanzia TZS 4,000/= Kwa Mwezi Wasiliana nasi sasa.
 
NOTE: Gharama zinajumuisha

*Free .co.tz Domain for 1 Year
*Free Hosting for 6 Month
*Free SSL Certificate
*15 Business Email
*Full access cPanel
*Free Support etc.
 
Wanachuo.JPG
 
NOTE: Gharama zinajumuisha

*Free .co.tz Domain for 1 Year
*Free Hosting for 6 Month
*Free SSL Certificate
*15 Business Email
*Full access cPanel
*Free Support etc.
Kama mteja napenda kufahamu hio ssl certificate ni nini. Inafanya kazi vipi, kwa nini naihitaji kwenye website yangu?
Naomba unielimishe.
 
Kama mteja napenda kufahamu hio ssl certificate ni nini. Inafanya kazi vipi, kwa nini naihitaji kwenye website yangu?
Naomba unielimishe.

Habari Mkuu, Unaweza Kupitia maelezo haya chini ukapata Mwanga Kuhusiana na SSL

SSL Certificate ni cheti cha kieletroniki chenye taarifa muhimu zinazohusiana na Kampuni au mtu. Pindi funguo zenye taarifa ya cheti hiki zinapofungwa kwenye seva, basi husababisha browser kuonesha alama ya kufuri likimaanisha kuwa mawasiliano yote kati ya seva na browser yatapita kwenye njia salama. Mara nyingi, mtindo huu hutumika sana kulinda taarifa muhimu kama kwenye mabenki, manunuzi ya online na sehemu yoyote online inayopokea taarifa muhimu za mtumiaji.

Kwa siku za karibuni, tumeona ongezeko la matumizi ya SSL Certificates hata kwenye websites za kawaida ambazo hazipokei taarifa za watumiaji. Hii ni kwa sababu, mtandao wa utafutaji wa taarifa za mtandaoni (Google Search Engine) wameweka SSl certificate kama moja ya vigezo vyake katika upangaji wa utafutaji wa taarifa, hivyo watu wengi wameamua kutumia fursa ili kujiweka katika nafasi nzuri ya upatikanaji kwenye mitandao (online visibility).

Kwanini unahitaji SSL Certificate kwa Website ya biashara yako
Ukiacha sababu za kuongeza daraja la website kwenye mitandao ya utafutaji, SSl Certificate ikakusaidia;

  • Kuongeza usalama wa taarifa kati ya mtumiaji na seva
  • Kuongeza uaminifu kwa wateja
  • Kuboresha biashara kwa kuvutia wateja zaidi
 
OFFA: Pata 50% OFF kwenye huduma zetu za Web hosting, Domain, Web Design & Development and Products & Business Software / System. Contact Us | +255.711414246
 
OFFA: Pata 50% OFF kwenye huduma zetu za Web hosting, Domain, Web Design & Development and Products & Business Software / System. Contact Us | +255.711414246
 
Kazi Zinaendelea. Tupigie kwa huduma zetu kwa namba 0711414246
 
Pia Tunatoa Full Access Control Panel ( cPanel ). Wasiliana nasi sasa kwa huduma zetu. +255.711414246

Full Access cPanel.JPG
 
Pia tunatoa huduma yakusajiri Domain pamoja na Kuhost Website kwa Gharama ya Kuanzia TZS 4,000/= Kwa Mwezi Wasiliana nasi sasa.
 
Pia tunatengeneza mifumo mbalimbali ya Computer kwa ajili ya Makampuni, Mashirika, Taasis na Biashara mbalimbali kwa gharama nafuu wasiliana nasi sasa +255.711414246
 
OFFA: Pata 50% OFF kwenye huduma zetu za Web hosting, Domain, Web Design & Development and Products & Business Software / System. Contact Us | +255.711414246

RAPHTV HOME.JPG
 
Back
Top Bottom