Tunatengeneza na Kudesign logo, Business card, Websites Pamoja na Android Application

Tunatengeneza na Kudesign logo, Business card, Websites Pamoja na Android Application

Boresha Biashara/ Kampuni yako kuonekana ya Kisasa Zaidi, Karibu tukutengenezee Website / Logo Kwa Gharama Nafuu Zaidi. Wasiliana Nasi Sasa.
 
Tumetoa punguzo la bei hadi 50%, kutoka 400,000/= paka 200,000/=. Ili kila mfanyabiashara aweze kuafford na kumiliki biashara yake kisasa zaidi. Wasiliana Nasi Sasa Kwa Huduma Zetu.
 
Pia tunatoa huduma yakusajiri Domain pamoja na Kuhost Website kwa Gharama ya Kuanzia TZS 4,000/= Kwa Mwezi Wasiliana nasi sasa.
 
Tumetoa punguzo la bei hadi 50%, kutoka 400,000/= paka 200,000/=. Ili kila mfanyabiashara aweze kuafford na kumiliki biashara yake kisasa zaidi.
 
NOTE: Gharama zinajumuisha

*Free .co.tz Domain for 1 Year
*Free Hosting for 6 Month
*Free SSL Certificate
*15 Business Email
*Full access cPanel
*Free Support etc.
 
CONTACTS
Sales Department
CALL/ WhatsApp: +255.734198431 Au +255.711414246
 
OFFA: Pata 50% OFF kwenye huduma zetu za Web hosting, Domain, Web Design & Development and Products & Business Software / System. Contact Us | +255.711414246
 
Gharama zinajumuisha.

*Free .co.tz Domain for 1 Year
*Free Hosting for 6 Month
*Free SSL Certificate
*15 Business Email
*Full access cPanel
*Free Support etc.
 
Je unahitaji kuwa na tovuti kwa ajili ya biashara?

Hilo ni swali kila mtu mwenye biashara hujiuliza. Wengi tumekuwa hatujui umuhimu wa tovuti. Labda kwasababu majibu tuliokua nayo ni “gharama sana”, “inahitaji mda”, “teknolojia ngumu”, “nina biashara kubwa ya kutosha sihitaji moja”. Yote hayo yanaweza kukufanya usione umihumu wa kuwa na tovuti.



Sasa je bado unajiuliza haja ya biashara yako kuwa na tovuti?

Kabla sijakupa mchanganuo wa umuhimu wa tovuti kwa ajili ya biashara yako nahitaji utambue kuwa asilimia zaidi ya 80% ya watu wenye uwezo ya kuingia kwenye mtandoa hufanya utafiti wa biashara mtandaoni

1. Tovuti itafanya biashara yako iaminike zaidi​

Je unafahamu ni vitu gani huleta uaminifu kwenye biashara. Ukiachana na mahali au eneo la biashara. Tovuti yako itajenga uaminifu kwa kusema, mimi niko hapa, ninamaanisha biashara, na niko kwa muda mrefu.
Kwa kupanga kwa uangalifu, kwa busara na kwa kuangalia mahitaji ya wateja wako, wavuti yako itatoa picha ya kitaalam na kuwapa wateja uwezo mkubwa wanapotembelea, iwe iko kwenye kompyuta zao, tableti au simu.

2. Huhifadhi Muda.​

Muda ni pesa, kwa hiyo mara nyingi huunganishwa pamoja. Kuwasiliana na kutimiza haja wateja huchukua muda. Wavuti yako inaweza kuokoa muda huo kwa kutoa majibu ya maswali na maoni ya kawaida kwa wateja bila ya kurudia ujumbe huo huo kwa watu tofauti.
Unaweza kutumia wakati wako kufanya vitu vya thamani zaidi, kama kuendeleza biashara yako.

3. Hurahisisha upatikanaji wa Biashara yako.​

Kuwa na tovuti hufanya iwe rahisi sana kwa watu kukupata, kusoma juu ya biashara yako, unachofanya na kujibu rundo la maswali waliyo nayo kwa ajili ya biashara yako. Kwa kuwa na tovuti watu wataweza kupata biashara yako wanapoitafuta kwenye injini za utaftaji kama google, yahoo au bing. Wakati mwingine mtu asipofanikisha kupata biashara yako mtandaoni anaweza akahis biashara yako imefungwa.

4. Fursa za kimataifa​

Ukiwa na tovuti hufanya uwezekano kwa mtu yeyote ulimwenguni kupata biashara yako. Ikiwa unayo bidhaa/huduma ambayo inaweza kuuzwa kwa urahisi mtandaoni unaweza kuongeza kiwango kikubwa cha wateja wako kwa kuuza kwenye mtandao.

Au labda huwezi kuuza huduma/bidhaa zako mkondoni lakini kwa kuwa na wavuti unaweza kupata wateja ambao wako nje ya mahala pako kijiografia.
 
Pia tunatoa huduma yakusajiri Domain pamoja na Kuhost Website kwa Gharama ya Kuanzia TZS 4,000/= Kwa Mwezi Wasiliana nasi sasa.
 
Endesha Biashara/ Kampuni yako kuonekana ya Kisasa Zaidi, Karibu tukutengenezee Website / Logo Kwa Gharama Nafuu Zaidi. Wasiliana Nasi Sasa.
 
Wasiliana nasi sasa kwa namba 0711414246 24/7 Kwa Huduma zetu.
 
Habarini za Jumapili WanaJF,

50% OFF kwenye huduma zetu za Web hosting, Domain, Web Design & Development and Products & Business Software / System. Contact Us | +255.711414246
 
Back
Top Bottom