Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Confirm
Kwa rejareja ni 25,000???
Travota rejareja ni 28,000 Chief. Ila I'm sorry kuwa no 45 kesho itaondoka Dar kwenda Arusha. Zimebakia namba 44.

Nakuomba tukuandalie ije na mzigo unaofatia baada ya kesho, yaani kati ya J.5, Alhamis na Ijumaa next week.
 
Travota rejareja ni 28,000 Chief. Ila I'm sorry kuwa hiyo kesho itaondoka Dar kwenda Arusha. Zimebakia 44, nakuomba tukuandalie ije na mzigo unaofatia baada ya kesho, yaani kati ya J.5, Alhamis na Ijumaa next week.
Kati ya 44
Sipati pea moja?
 
Mkuu hujanipa mrejesho! Please nasubiria design nzur ya kike itapendeza zaidi hata brown poa tu nahitaji kung'aaaaa!
 
Mkuu hujanipa mrejesho! Please nasubiria design nzur ya kike itapendeza zaidi hata brown poa tu nahitaji kung'aaaaa!
I'm sorry kuwa sikuweza kukujibu kwa wakati. Nimeongea na vijana wa kazi wamesema sample hiyo haikuwepo, hivyo wataanza kukishughulikia kuanzia J.3.
 
Kati ya Alhamis na Jumamosi, ila kuna mzigo kesho unakuja Dar, aina hiyo pia inakuja ila ina order,iwapo mwenye nacho hatapatikana basi tutakuletea.....Tuwasiliane tu inbox kwa contact Mkuu.
Nasubiri kupata mrejesho kuhusu hiyo order
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…