Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Mkuu, nakupongeza kwa uaminifu wako. Mzigo umekufikia na ukafanya malipo bila tatizo. Nakushauri kama mpka kufikia week hii mwishoni utakuwa hujapata wa kuinunua kwa huko, uirudishe then tukubadilishie size. Gharama za nauli tutachangia wote.
Asante kiongozi
 
Changamoto hapa nimeona ni kutofautiana kwa size, maana kuna size zinasomwa za " UK" wengine za "EUROPE" na wengine za "USA"....Hii changamoto tunaitafutia ufumbuzi ikiwemo kutengeneza aina mbalimbali ili mteja akiletewa achague.....
Size za kichina zinakua ndogo inaonyesha 45 lakini ni 44
 
Fanya hivyo mzee but fanya soli isiwe slippery tuu, iwe rubber material sio zile ngumuuuuu
Sawa Boss. Ngoja niwaambie vijana wa kazi waifanyie kazi.
 
Mkuu hongereni sana,,jitahidi finishing iwe bombs zaidi na maeneo unayoshona (pitisha Uzi)jitahidi mwisho Wa hiyo sehemu na Uzi ziwe sawa ,,na soili jitahidi ziwe za mpira ,,big up man
Nimeupokea na kuuchukua ushauri huu kama ulivyo kwa ajili ya kuufanyia kazi. Mkuu, na we ushapata biadhaa yetu nini?
 
Dar mpo sehem gani kama inawezekna naomba contacts niwacheki
Safar boot bei gan??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…