Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Mi navaa 44 vip kwa 25 mkuu?
Bei zetu tayari zina total Discount Mkuu. Nakuomba utuunge mkono kwa hiyo 28,000. Dar ipo no 44. Ukiridhia Agent akuletee Mkuu. Upo mitaa gani?
 
Kaka mimi nilihitaji kiatu nikaacha namba ya sim ila kimya
Boss naomba radhi sana. Kufanya kazi na watu inahitajika uvumilivu sana. Kuna Wakala wetu wa kutuma mizigo amechanganya, badala ya kutuma Dar akatuma Mwanza, na ule wa Mwanza akatuma Dar. Kwani uliweka order kiatu aina ipi na size ipi?
 
Ok sasaa mi sipo dar nipo mtwra tunafanyaje mkuu
Inawezekana tu Boss. Anaweza kutuma kutokea Dar ila unachangia tu usafiri. Wasiwasi wangu hiyo 44 isije ikakubana tu. Unavaa 44 ya mguu mkubwa.?
 
Boss naomba radhi sana. Kufanya kazi na watu inahitajika uvumilivu sana. Kuna Wakala wetu wa kutuma mizigo amechanganya, badala ya kutuma Dar akatuma Mwanza, na ule wa Mwanza akatuma Dar. Kwani uliweka order kiatu aina ipi na size ipi?
Travolta nyeus no 45 pia kama una viatu aina nyingine nirushie kwenye what's up
 
Inawezekana tu Boss. Anaweza kutuma kutokea Dar ila unachangia tu usafiri. Wasiwasi wangu hiyo 44 isije ikakubana tu. Unavaa 44 ya mguu mkubwa.?
Yeaah mguu mkubwa kaka ila nahitaj nyeusi...na hio ni pure ngozi?
 
Ndiyo Chief, jamaa waliokwisha chukua bidhaa wanaweza toa ushuhuda. Sasa kama ni mkubwa nashauri upate 45 Chief. Ngoja niiweke kwenye ordered list.
 
Poa 45 basi mkuu deal done nipe procedure basi
 
Procedures ni simple tu za kutotuma pesa yoyote kabla ya kupokea mzigo. Mzigo ukikamilika ntakujulisha Mkuu.Mtwara Bus za Dar zinafika moja kwa moja?
 
Sawa mkuu ...yeah basi ni direct yani bt ningependelea ile vota ya kisigino kibend kidogo i hope ushafahamu
 
Babati kinanifikia vipi
 
Babati kinanifikia vipi
Babati from Dar kuna gari ya moja kwa moja.? Kama sikosei ni mpaka kuunga gari mbili. Yaani Dar - Arusha. Kikifika Arusha ndo kitumwe hapo Babati...Huna jamaa yako Arusha..? Au la, kama utakubali kulipia nauli mara mbili ni sawa, yaani Mbeya to Iringa, kisha Iringa to Babati via Singida kwa magari ya Arusha..
Unahitaji pair ngapi chief, na aina ipi..?
 
Ni moja kwa moja
Ni pair moja tu, gharama za usafiri inaweza kuwa kiasi gani
 
Usafiri inategemea, ila inaanzia 5000 hadi 10,000/= Inategemea na aina ya gari..Unahitaji size ipi na aina ipi Kiongozi..
 
Au nisubiri tu maana nina safari ya kuja Dar hivi karibuni, nitakutafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…