Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Mkuu kile changu vepee? Nilisubiria j5 unipe taarifa kimya?
Travolta za kike hakukuwa na design yake. Vijana wa kazi ndo wanashughuliikia design yake. Ikikamilika nitakujuza..
 
Safari Boot unapata kwa 28,000/= tu.
 
kazi nzuri hongereni .mapinduzi ya viwanda kule UK yalianza kwa viwanda vidogo vidogo.
 
Bado hatujafungua Office rasmi. Ila kuna Agent wetu kwa sasa yupo Mbagala. Ukihitaji samples anakuletea ulipo ...

Office Dar itafunguliwa mwezi ujao..

Mkuu nahìtaji kufika kwa agent leo hii ničhukue aina hii ya kiatu namba 44 au 45
 
Mkuu vipi oda yangu nimeagiza travota brown ukasema j3 itakuwa tyr
Materials ya Brown yaliadimika kidogo Kiongozi. Travolta Nyeusi zipo hakuna shida. Ila Brown ndo kumekuwa na delay kidogo. Leo wataalamu wamenihakikishia kunipa majibu ya uhakika. Ntatoa Updates Mkuu. Very sorry...
 
Dah....yan dah ah ok poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…