omosangora
Member
- Oct 29, 2017
- 53
- 26
Hivi wafanyabiashara wa karume bado hajafikili kuwa wale madalali pale wanawahalibia kazi na kuondoa uaminifu kwa wateja wa bara ambao wanakuja wakijua kuwa bongo kuna wezi?,mtu analazimishwa kushika kiatu na watu zaidi ya wanne humuoni kuwa huyu mteja hatonunua kuhofia usalama wake au hili nalo mnahitaji sisi tufikili kwa niamba yenu?,lekebisheni hili ni kero kubwa kwa wateja.Tumefungua Office Dar, Office Location: Karume, Machinga Complex Building, Ground Floor, Agent Contact: 0657 89 5590. Vilevile, tunatuma bidhaa zetu Mikoani..
Nahitaji kuwa agent wenu mna vigezo ganiTumefungua Office Dar, Office Location: Karume, Machinga Complex Building, Ground Floor, Agent Contact: 0657 89 5590. Vilevile, tunatuma bidhaa zetu Mikoani..
Pole sana Mkuu, sisi si miongoni mwa hao.Hivi wafanyabiashara wa karume bado hajafikili kuwa wale madalali pale wanawahalibia kazi na kuondoa uaminifu kwa wateja wa bara ambao wanakuja wakijua kuwa bongo kuna wezi?,mtu analazimishwa kushika kiatu na watu zaidi ya wanne humuoni kuwa huyu mteja hatonunua kuhofia usalama wake au hili nalo mnahitaji sisi tufikili kwa niamba yenu?,lekebisheni hili ni kero kubwa kwa wateja.
Hiki bei gani mkuu? Je ni ngozi real ama carpet? Nijibu hapa na mode ya manunuzi. Naomba jibu hapahapa ama uni-pm.Sisi ni wajasiriamali wadogo tunaotengeneza na kuuza viatu vya ngozi ikiwa ni bidhaa kutoka ndani ya Nchi yetu.
Gharama zetu ni nafuu zaidi na ni sababu tosha ya wewe mteja kujipatia bidhaa zetu.
Tunapatikana Dar, Office Location: Karume, Machinga Complex Building, Ground Floor, Kizimba na. E1 037 - E1 029.Contact: 0657 89 5590. Ila tunaweza kukutumia popote pale nchini.
======UPDATES======
Kutokana na kuongezeka kwa eperational costs (tumefungua Office Dar), tutafanya some adjustments kidogo kwenye bei zetu kama ifuatavyo.......
Bei ya jumla ni:
27,000/= Travolta na Safari boot
24,000/= Staff za kawaida na Simple.
Bei ya Rejareja ni:
27,000/= Staff za kawaida na Simple.
30,000/= Travolta na Safari.
Aidha, tunawaomba radhi wateja wetu kwa mabadiliko haya madogo....
NOTE: Free delivery tunafanya Dar pekee kwa sasa. Mikoani inabidi uchangie gharama za kutuma mzigo. Gharama hizo utatoa pia wakati wa kupokea mzigo.
ANGALIZO: Usitume pesa yoyote kabla ya kupokea mzigo isipokuwa kwa makubaliano maalumu..
Mawasiliano.
Dar Office: 0657 895 590.
HQ Office: +255 624 060 662 (Mbeya)
Email: fajestz@gmail.com
Mkuu hakijaonekana kiatu unachohitaji, naomba ufanye attachment tena ya kiatu unachohitaji au nitumie PM. Ahsante.
Kwa sasa nipo Tbr kikazi. Ila makazi yangu ni Dsm. Ninaomba unielekeze mlipo ili nimtume kijana wangu aje kukikagua uhalisia wa ngozi yake and then tufanye biashara.Kinapatikana, je unavaa namba ipi.? kuhusu mode of payment, kama upo Mkoani yaani nje ya Dar, tunakutumia na ukishapata kiatu ndo unafanya malipo. Utalipia gharama ya kaitu 27,000 + Usafiri. Ndiyo, ni ngozi Mkuu, karibu sana..
Sawa Mkuu, tunapatikana Karume, Machinga Complex Building, Ground Floor, Kizimba na. E1 037 - E1 029 Namba ya Agent wetu ni: 0657 895 590. Karibu sana.Kwa sasa nipo Tbr kikazi. Ila makazi yangu ni Dsm. Ninaomba unielekeze mlipo ili nimtume kijana wangu aje kukikagua uhalisia wa ngozi yake and then tufanye biashara.
Usafiri kwa Tbr nadhani ni NBS pale Magomeni, haizidi elf5 hadi 10.
Travolta hadi Tanga itanigharimu shilingi ngapi mkuu?Bado hata ukiwa hukohuko Tanga tunaweza kukutumia Mkuu. Karibu.
Sawa mkuu ngoja nichague nitakujuza,,30,000 + Transportation cost. Kwa uzoefu wangu gharama ya usafirishaji haijawahi kuzidi 10,000.