Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Maana Yake sipendagi viatu vireefu sana kwa mbele mithili ya jokeli, Nikihitaji vile ambavyo vipi modereti kabsa vipo au mnaweza tengeneza na kwa bei gani?
 
Mkuu, vipo utapata, karibu sana. Bei ni Tshs 30,000 kwa 27,000.
 
Maana Yake sipendagi viatu vireefu sana kwa mbele mithili ya jokeli, Nikihitaji vile ambavyo vipi modereti kabsa vipo au mnaweza tengeneza na kwa bei gani?
Mkuu, vipo utapata. Angalia sample nimeweka hapo juu.
Bei ni Tshs. 30,000 kwa 27,000. Karibu sana.
 
Mpo vizuri sana, kama kijana wa Kitanzania nitajivunia kuvivaa. Nitawatafuta.
 
Travolta Black
Tshs. 30,000
Call: 0657 89 55 90.
 
Tshs. 27,000

Call 0657 89 55 90

Ilala, Machinnga Complex.
 
Travolta.
Tshs. 30,000
Call 0657 89 55 90
Machinga Complex, Ilala.
 
Tshs. 27,000

Call 0657 89 55 90

Ilala, Machinga Complex.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…