Mkuu samahi, kwa size ya 22 Mtaalamu wangu hapa anasema hatuna miguu ya kufanya setting, mpaka tuagize miguu yake. Haipo kwa sasa. Itachukua week 1 kufika. Samahani kwa usumbufu..
Nahitaji hiki hapa iwe namba 22,vip mnafanya free delivery?
Verry sorry!I mean size 42Mkuu samahi, kwa size ya 22 Mtaalamu wangu hapa anasema hatuna miguu ya kufanya setting, mpaka tuagize miguu yake. Haipo kwa sasa. Itachukua week 1 kufika. Samahani kwa usumbufu..
Fikilieni kubuni sori zenu, au km mnaweza mdesign wenyewe muagize kwa wachina speciation maana kweli quality ya kiatu juu haiendani na sori iliyobeba kiatu.Sawa boss, ahsante kwa ushauri..... Tumeupokea na tutauzingatia....
Ahsante sana kwa ushauri na very good constructive criticisim... naahidi kuufanyia kazi....Fikilieni kubuni sori zenu, au km mnaweza mdesign wenyewe muagize kwa wachina speciation maana kweli quality ya kiatu juu haiendani na sori iliyobeba kiatu.
Nahitaji hicho cha brown kesho asbh napatikana mwenge size 45na 44Jumla 19,000/= , Rejareja 22,500/=