Tunatengeneza ramani za nyumba mbalimbali

leodude

Member
Joined
Jun 18, 2019
Posts
28
Reaction score
41
Ramani ya vyumba vitatu , chumba kimoja masta, sebule na choo cha kushea, Ukubwa wa Ramani ni mita 9/kwa mita9/...kupata Ramani yake tuwasiliane 0627571649.

IMG_20210803_213025_602.jpg
 
Ni kwa Mara nyingine Tena nawaletea Ramani ya vyumba vitatu, viwili self, kimoja masta...ukubwa ni mita 12/kwa 12.6...kupata Ramani yake nichek whatsap 062757164

TATU1.jpg
 
Hii ni Ramani ya vyumba viwili kimoja masta na mahitaji yote muhimu. ukubwa wa Ramani mita 10.6/kwa mita 10.3

#Mahitaji
Tofali za msingi=598{kozi nne}
Tofali za boma=1514
bati pisi 56{futi kumi}

#Kwa wakazi wa Arusha/kilimanjaro mnapata hardcopy za Ramani
kwa mawasiliano zaidi nione whatsap 0627571649

IMG_20211103_114053_476.jpg
 
ZINGATIA|| MAKADIRIO YANAWEZA KUBADILIKA KUTOKANA NA SABABU MBALIMBALI
 
Back
Top Bottom