haupo vizuri kabisa kwenye makadirio, hjyo nyumba utstumia zaidi ya Tofali 1500
foundation haipaswi kuwa course 4, hata Kama mteja atakomaa kwenda kujenga course 4 itakuwa juu yake Ila wewe mtaalam unapaswa kusimamia kwenye standard.
Ramani ya Vyumba Vinne chumba kimoja masta pia ina wic(walk in closet)...
Ukubwa Wa Ramani mita 12/kwa mita 15
kupata Ramani yake tuwasiliane 0627571649
Hii Ramani ya vyumba vitatu vyote self, choo cha kushea na mahitaji yote , Ramani ina Ukubwa Wa mita 9/kwa mita 12
Kupata Ramani yake tuwasiliane 0627571649