Tunatoa huduma ya kuchimba visima

Joined
Aug 7, 2018
Posts
8
Reaction score
8
wachimbaji visima virefu Tanzania pia tunafanya tafiti za maji ardhini (surveying)

mikoa yote tupo kwa maelezo sahihi ya mteja wapi upo mkoa gani na sehemu gani basi wasiliana nasi kwa namba

-0762484200
-0627431955

karibuni: IMG_0387.jpg
 
Mita moja ni sawa na futi 3 na inchi 2 kwa shilingi 65,000/=.
 
Nikishalipia Survey na kiwanjani kwangu mkakosa chanzo cha maji pesa yangu inakuwaje?
 
Kumbuka inachimba mashine na Mafuta yanatumika usije ukafikiri unachimba na sululu la mkono🤣🤣
Ulienda shule kusoma? Au umependa kuniletea ujinga wa vijiweni.
Nilichoandika siyo kushangaa au kuuliza, nimeandika watu wajue urefu wa kina kwani si kila mtu anajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…