wachimbaji visima mikoa yote Tanzani, bei zetu kama ifuatavyo kwa baadhi ya mikoa, na mikoa mingine tutapeana gharama tutakapowasiliana kupitia namba zetu,
(1) Dar mita moja tunachaji 65,000 na upimaji wa maji ( survey) ni laki 200,000
(2) Morogoro,Tanga,Dodoma mita moja tunachaji 80,000 na kupima (survey) laki 400,000
(3)Mbeya,Njombe,Iringa,Songea mita moja tunachaji 120,000 mpaka 130,000 inategema na formation ya miamba na survey tunafanya kwa laki (600,000)
(4) Moshi, Arusha mita moja tunachaji kuanzia (140,000) mpaka (170,000 ) pia inategemea na formation ya miamba na (survey ) tunafanya kwa laki (600,000)
(5) Mwanza,mara ,Tarime,Singida,Tabora mita moja tunachaji (120,000-140,000) na (survey) tunafanya kwa laki (600,000 -900,000)
mikoa mingine bei maelewano maana hatuwezi weka makadirio sahihi kwani inategemea na umbali pia na formation (aina ya miamba kwa taarifa sahihi tupigie simu namba zetu ni 0686733292/0714453589/0766438286
whasap us on - 0686733292/0714453589
email us on wachimbaji
visima@gmail.com
View attachment 2211306
View attachment 2211307
View attachment 2211308
View attachment 2211309
View attachment 2211310
View attachment 2211311
View attachment 2211312
View attachment 2211313
View attachment 2211314