Manase fast courier
JF-Expert Member
- Mar 23, 2021
- 571
- 336
Kuna Mtu hapa anatafutwa kupigwa na atapatikana tu.Unahitaji huduma ya kuhamishwa kisasa, kufungiwa vitu kwa ustadi kama vyombo, nguo, na hata vifaa vya umeme kama dish au antenna la dstv au lolote ulionalo...karibu sana...tunapatikana kinyerezi na huduma yetu ni ya haraka sana[emoji91][emoji91]
Tupigie 0688115131/ 0744302922 au watsapp 0718072707View attachment 2422109
View attachment 2422110
Kuna Mtu hapa anatafutwa kupigwa na atapatikana tu.
Nashukuru sana kwa muda wako na ushauri pia, japo nashukuru wateja wengi wameshatuamini pamoja na changamoto ndogondogo ila kwa imani tutazimaliza na kuleta kwenu kilichobora[emoji91][emoji91]Hongereni Kwa kuwa wabunifu, hii biashara tumekuwa tunaona wanafanya Kwa wenzetu huko waliostarabika vizuri...
Pamoja mkuunashukuru sana kwa muda wako na ushauri pia, japo nashukuru wateja wengi wameshatuamini pamoja na changamoto ndogondogo ila kwa imani tutazimaliza na kuleta kwenu kilichobora[emoji91][emoji91]
Angalieni wakati mnapenda Kwa wanaume single wengine wanakunguni
Ukifika huko unapohamia ukija kufunguwa baadhi ya mabox utakuta matupu na lile ulilofunga TV utakuta ndani ni kipande cha mbao badala ya FLAT SCREEN..kupigwaje boss?
Ukifika huko unapohamia ukija kufunguwa baadhi ya mabox utakuta matupu na lile ulilofunga TV utakuta ndani ni kipande cha mbao badala ya FLAT SCREEN...
Basi sawa mkuu,mkuu mtu afungue kampuni akuibie aharibu kazi kwa vitu ndani ? watakufanyia hivo wahuni bro sio sisi