Tunatoa huduma ya kuhama mtaa kwa mtaa na Dar kwenda mikoani

Tunatoa huduma ya kuhama mtaa kwa mtaa na Dar kwenda mikoani

huduma inaendelea wakuu karibuni sana
IMG_0497.jpg
 
Watu muache tabia ya kukatisha tamaa wenzenu wanaobuni mbinu za biashara za kuingiza kipato.

Zaidi sana tuwasaidie mbinu za kukabilkana na challenge ambazo tu nahisi zinaweza kutokea kama hamna umakini.

Maana kwenye uhamishaji wa vitu Kunaweza kutokea vitu kupotea katika mazingira yoyote hivyo hakikisheni mnakabidhiana list ya vitu vilivyo pakiwa.
 
Hobgera sana kwa kufikiria nje ya box.hivo ndio wanaovoishi wenzetu nje.ukitaka kuhama ni kupiga simu mnakuja mnafunga kila.kitu.

yale mambo ya kuanza kuumiza kichwa maana hamna jambo gumu kama kuhama aisee.huwa ni mtifuano mpaka uje kukaa sawa kisaikolojia huwa mpaka week hata 2.

Kwahiyo mnahamisha pamoja na kumpangia mtu vitu au ndio mkishashusha mnamuacha mwenyewe aanze kusukuma mifriji na migesi jikoni.kuvuta mikochi kupiga misumari mahali labda kutundika bomba za pazia
 
Ukifika huko unapohamia ukija kufunguwa baadhi ya mabox utakuta matupu na lile ulilofunga TV utakuta ndani ni kipande cha mbao badala ya FLAT SCREEN....
Nilijua pia hii itakua challenge. Usalama wa vitu hasa hivi vidogo vidogo.mana katika wafanyakaz hao katika kufunga funga akiona ka kitu ka kutia mfukoni?

Nafikiri huduma bado ni nzuri ila labda kusimamia na mwenyewe kuhakikisha vitu vidogo vidogo wanaweka kwenye boxes na wapige tape kabisa.

Au we mwenywew vile vitu vidogo vya gharama na thaman unachkua mwneyewe we unaacha friji vitanda mabegi majaba majiko sijui makorokoro mana nyumba wakat unahamia inakuaga nyeupe ila unajikuta siku ya kuhama mavvitu kibao mengine hayana hata maana
 
Back
Top Bottom