Tunatoa huduma ya kuhama mtaa kwa mtaa na Dar kwenda mikoani

Tunatoa huduma ya kuhama mtaa kwa mtaa na Dar kwenda mikoani

Manase fast courier

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2021
Posts
571
Reaction score
336
Unahitaji huduma ya kuhamishwa kisasa, kufungiwa vitu kwa ustadi kama vyombo, nguo, na hata vifaa vya umeme kama dish au antenna la dstv au lolote ulionalo...karibu sana...tunapatikana kinyerezi na huduma yetu ni ya haraka sana[emoji91][emoji91]

Tupigie 0688115131/ 0744302922 au watsapp 0718072707
IMG_1239.jpg

IMG_3488.jpg
 
Unahitaji huduma ya kuhamishwa kisasa, kufungiwa vitu kwa ustadi kama vyombo, nguo, na hata vifaa vya umeme kama dish au antenna la dstv au lolote ulionalo...karibu sana...tunapatikana kinyerezi na huduma yetu ni ya haraka sana[emoji91][emoji91]

Tupigie 0688115131/ 0744302922 au watsapp 0718072707View attachment 2422109
View attachment 2422110
Kuna Mtu hapa anatafutwa kupigwa na atapatikana tu.
 
Hongereni Kwa kuwa wabunifu, hii biashara tumekuwa tunaona wanafanya Kwa wenzetu huko waliostarabika vizuri

Muhamaji unatoa location ya unapoenda kisha wabebaji wanapeleka mizigo hadi eneo husika na kazi inabakia kwa muhamiaji kupanga vitu vyake

Kwa wenzetu wanafanikiwa Kwa kuwa ni waaminifu sana, ila Kwa kwetu huku itachukua muda kidogo watu kuwa na Imani

Hukawii kumpa mwenzio vitu vya kwenda kuanzia maisha alafu wewe ukaanza moja kulala kwenye mkeka

Pamoja na hayo hongereni kwa kuleta huduma hii, mkiwa waaminifu mtapata tu wateja maana hakuna kazi ngumu na inayokela kama kuhama
 
Hongereni Kwa kuwa wabunifu, hii biashara tumekuwa tunaona wanafanya Kwa wenzetu huko waliostarabika vizuri...
Nashukuru sana kwa muda wako na ushauri pia, japo nashukuru wateja wengi wameshatuamini pamoja na changamoto ndogondogo ila kwa imani tutazimaliza na kuleta kwenu kilichobora[emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom