Tunatoa huduma ya kuhama mtaa kwa mtaa na Dar kwenda mikoani

kumekucha kumekucha washtue wana manase fast courier anawasubiri 0718072707
 
Hata sisi wa uswahilini unatuhudumia?
Maana huku kwetu kama unavyojua makarokoro huwa ni mengi mengi
 
Kuna mtumishi mwenzetu kahamishiwa Arusha ameenda kuripot last week na anarud kesho anafikiria kuhamisha vitu vyake vya ndan.
Eg. Vitanda Viwil, Frijibkubwa milango miwil, Jiko la gesi pamoja na Mtungi wake, Majab Mawili, Na shangaz kaja ameniambia akijaza nguo na Vyombo zinaweza kuwa mbili na Mifuko ya Saflet mikubwa minne atajaza vikorokoto vingine.
Hivyo naomba kujua gharma zenu zikoje?

NOTE: A) Pls jb hapa usije Inbox lengo ni KUONA wapi ni Gharama nafuu na mzigo ukafika ukiwa Salama.

B) Gharama ya kupakia mzigo kwenye gari zenu za Mizigo ni Juu yenu au juu yake Mwenye mzigo.
Na mizigo yake ipo Kimara Korogwe...

C) Nikiona mpo vizur na gharama zenu ni Affordable nitampa namba zenu atawapigia
 

taratibu zetu
1.Tunakuja kwake kuiona mizigo yake au atume picha au video kwa maana mizigo huwa na sura tofauti na maandishi,
2. baada ya kuiona mizigo yake tunamtumia invoice ya kuichukua mizigo kwake mpaka kwenda kumpangia arusha
3. Invoice itajumuisha material yakufungia mizigo yake, usafiri wa mpaka arusha, pamoja na labor charges za kupanga vitu vyake, kubeba na kufunga mizigo yake

NB; invoice ipo kwa pdf, ntumie picha zake za vitu watsapp 0718072707 namimi ntume invoice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…