Manase fast courier
JF-Expert Member
- Mar 23, 2021
- 571
- 336
- Thread starter
-
- #81
Picha ya godoro?Mimi kutokana na godoro langu lilivyo hupendekea kuhama usiku, je inawezekana?
Nimejaribu kulipiga picha lakini halieleweki maana katikati kuna shimo kubwa sijui Manka alilifanya nini ila nadhani alikuwa akificha hela.Picha ya godoro?
Mimi kutokana na godoro langu lilivyo hupendelea kuhama usiku, je inawezekana?
Godoro chakavu mnalifungaje?,nataka nihame ila kunguni sitaki niondoke nao,nataka wabaki.
Jokes mkuu
Na kule Insta si mna ile page?