Tunatoa huduma za kutengeneza Mihuri [Dodoma]

Tunatoa huduma za kutengeneza Mihuri [Dodoma]

Barua ya Polisi haihitajiki hapo?
Mkuu hatutengenezi wala kuuza silaha, bali tunatengeneza mihuri kwa ajili ya biashara au kampuni au mtu binafsi, sioni uhusiano wa barua ya polisi na kinachofanyika labda uwe mgeni kwenye haya mambo.
Kama unalenga mihuri ya kugushi, hiyo hatutengenezi kamwe.
Karibu tukuhudumie.
 
Inaonekana wewe ndio mgeni kwenye hayo mambo. Unajua taratibu za kutengeneza mihuri zikoje kwa sasa?
 
sampo.png
 
Je ungependa logo ionekane kwenye muhuri wako, usiwe na shaka kilakitu kinawezakana, logo ya kampuni yako itawekwa kwa ustadi wa hali ya juu kwenye muhuri wako.
Karibuni.
 
kwan Dodoma ina ukubwa gani au ubiz gani hadi mtu ashindwe kukufikia wewe ulipo
Tunakufata ulipo, ni sehemu ya kujitangaza pia tatizo si ukubwa wala udogo wa mji/jiji, lengo ni kufikisha huduma kwa watu wengi kadri tuwezavyo.
Karibu tukuhudumie.
 
Tunakufata ulipo, ni sehemu ya kujitangaza pia tatizo si ukubwa wala udogo wa mji/jiji, lengo ni kufikisha huduma kwa watu wengi kadri tuwezavyo.
Karibu tukuhudumie.
Usikariri ! wenzako wanafanya hivo sababu ya ubize halafu ushindani ni mkubwa sasa Dodoma hatua 2 poli hilooo!
 
Back
Top Bottom