Tunatoa huduma za kutengeneza Mihuri [Dodoma]

Tunatoa huduma za kutengeneza Mihuri [Dodoma]

Karibuni huduma bado zinaendelea, piga namba hizi tukuhudumie, bila kusahau bei zetu ni nafuu sana.

0712132888
0759143420

112.jpg
 
Ofa ofa, pata muhuri wa mashine kwa bei poa

Tupigie

0712132888
0759143420

Tunapatikana Dodoma

adstamp.jpg
 
Kaka asante, samahani kama nitakukwanza. Natanguliza samahani. Mimi nimehangaika sana kutafuta hiyo mashine ya kuchonga hizo mambo mpaka sasa sijafanikiwa, huwa nafanya kazi hizi kwa kuchonga na mkono. Nimeangalia hadi mtandaoni naziona lkn namna ya kunifikia ndo huwa naona km nitashindwa. Naomba unisaidie namna ya kuipata mashine hiyo kama unazo tuongee biashara.
 
Back
Top Bottom