Folota Rubber Stamp inapenda kuwataarifu wateja wetu kuhusu aina mbalimbali za mihuri inayopatikana kwetu.
1. Mihuri yenye mshikio wa mbao (Traditional wooden stamp )
2. Mihuri aina ya self inking stamp aina zote na size zote
3. Mihuri aina ya multi-colored self inking stamp
4. Mihuri ya moto size zote (pocket, desk seal & heavy duty seal)
5. Mihuri ya identity theft protection kwenye documents
6. Mihuri ya sabuni za miche.
7. Mihuri ya bidhaa zote za ngozi aina zote (Genuine leather, PU, PVC n.k) [Branding]
8. Mihuri ya bidhaa za mbao [Branding]
9. Mihuri Ya Vifungashio aina zote (MANUFACTURING DATE, EXPIRY DATE & BATCH NUMBERS)
10. Wino aina zote kwa surface zote (porous & non-porous surfaces)
Hatuna mpinzani sisi ni nambari moja Tanzania inapokuja kwenye mambo yote ya mihuri, karibuni sana mpate huduma ambazo hamuwezi kupata popote, kwetu mteja ni mfalme.
Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo
0712132888
0759 143 420
Email:
stampfolota@gmail.com
Dodoma - Tanzania
Huduma zetu hazina mipaka, tunahudumia mikoa yote.