Folota Rubber Stamp
Senior Member
- Feb 21, 2018
- 149
- 100
- Thread starter
-
- #21
Mkuu hiyo namba ipo whatsapp, nadhani ni changamoto kwenye mfumo wa whatsapp kwa new contacts huwa inachukua muda ku sync, kama hutojali nitumie kwa email hii domseller112@gmail.comsimu yako 0762 haiko hewani via whaatapp
Mkuu hatutengenezi wala kuuza silaha, bali tunatengeneza mihuri kwa ajili ya biashara au kampuni au mtu binafsi, sioni uhusiano wa barua ya polisi na kinachofanyika labda uwe mgeni kwenye haya mambo.Barua ya Polisi haihitajiki hapo?
Inaonekana wewe ndio mgeni kwenye hayo mambo. Unajua taratibu za kutengeneza mihuri zikoje kwa sasa?Mkuu hatutengenezi wala kuuza silaha, bali tunatengeneza mihuri kwa ajili ya biashara au kampuni au mtu binafsi, sioni uhusiano wa barua ya polisi na kinachofanyika labda uwe mgeni kwenye haya mambo.
Kama unalenga mihuri ya kugushi, hiyo hatutengenezi kamwe.
Karibu tukuhudumie.
Utajuaje kama mimi sigushi?Mkuu hatutengenezi wala kuuza silaha, bali tunatengeneza mihuri kwa ajili ya biashara au kampuni au mtu binafsi, sioni uhusiano wa barua ya polisi na kinachofanyika labda uwe mgeni kwenye haya mambo.
Kama unalenga mihuri ya kugushi, hiyo hatutengenezi kamwe.
Karibu tukuhudumie.
Swali zuri sanaUtajuaje kama mimi sigushi?
NdioInaonekana wewe ndio mgeni kwenye hayo mambo. Unajua taratibu za kutengeneza mihuri zikoje kwa sasa?
Swali zuriUtajuaje kama mimi sigushi?
kwan Dodoma ina ukubwa gani au ubiz gani hadi mtu ashindwe kukufikia wewe ulipoKwa wakazi wa Dodoma unaletewa popote ndani ya viunga vyote vya mji, kwa mikoani tunatuma kwa basi gharama za usafiri atagharamia mteja.
Tunakufata ulipo, ni sehemu ya kujitangaza pia tatizo si ukubwa wala udogo wa mji/jiji, lengo ni kufikisha huduma kwa watu wengi kadri tuwezavyo.kwan Dodoma ina ukubwa gani au ubiz gani hadi mtu ashindwe kukufikia wewe ulipo
Usikariri ! wenzako wanafanya hivo sababu ya ubize halafu ushindani ni mkubwa sasa Dodoma hatua 2 poli hilooo!Tunakufata ulipo, ni sehemu ya kujitangaza pia tatizo si ukubwa wala udogo wa mji/jiji, lengo ni kufikisha huduma kwa watu wengi kadri tuwezavyo.
Karibu tukuhudumie.
Sawa mkuu karibu sana.Usikariri ! wenzako wanafanya hivo sababu ya ubize halafu ushindani ni mkubwa sasa Dodoma hatua 2 poli hilooo!