Folota Rubber Stamp
Senior Member
- Feb 21, 2018
- 149
- 100
- Thread starter
-
- #41
Kaka asante, samahani kama nitakukwanza. Natanguliza samahani. Mimi nimehangaika sana kutafuta hiyo mashine ya kuchonga hizo mambo mpaka sasa sijafanikiwa, huwa nafanya kazi hizi kwa kuchonga na mkono. Nimeangalia hadi mtandaoni naziona lkn namna ya kunifikia ndo huwa naona km nitashindwa. Naomba unisaidie namna ya kuipata mashine hiyo kama unazo tuongee biashara.