Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Kwa kufupisha maongezi, Nikiwa na Mil 1.5 naweza kichimbiwa kisima?
 
Mimi nipo Dodoma ngoja nikamilishe maandalizi ya shamba ndio mnichimbie kisima.
Sawa, ukiwa unaendelea na usafi wa shamba karibu tukufanyie utafiti wa upatikanaji wa maji ili mpka utakapomilisha usafi unakuwa unajua bajeti yako. Asante
 
Karibu tukupatie huduma ya kukuchimbia kisima chenye maji ya uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…