Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Mungu mwema kumekucha salama .... Karibu tukupatie huduma za uhakik
 
Habarini wadau, saiv kazi zinaendelea kwa kasi na ufsnisi mkubwa.... Pia tunatoa offer mbalimbali
 
Karibu tukufanyie kazi ya uhakika kwa maji ya uhakika
IMG-20210729-WA0001.jpg
 
Mchanganuo upo katik hatua zifuatzo.

1- kupima upatikanaji wa maji. (Gharama hutegemea umbali na miundombinu yake ya kufika eneo hilo)

2- uchimbaji wenyewe( baada ya upimaji, tathmini ya gharama hufanyika kisha mteja atapaswa kulipa kiasi fulani cha fedha kabla ya kuchimbiwa, hatimaye kazi ikiwa mwishoni anamalizia malipo. Pia hili hutemea mazingira ya makubaliano.)

3-ufungaji wa pump, baada ya maji kupatikana , mteja atafungiwa pump ambayo yeye ataiweza kuinunua. (Gharama za vifaa hubadilika kutokana na msimu husika na hali ya soko)

4-Majaribio ya utokaji wamaji, baada ya pampu kufungwa , fundi atajaribu kuona ni kwa hali gani maji yanatoka mbele ya mteja.

5-Makabidhiano- mteja hukabidhiwa kisima na maji yakiwa yanatoka na tayari kwa matumizi.

NB: UJENZI WA VIFAA(MIUNDOMBINU YA MAJI) HII HUTEGEMEA MAAMUZI YA MTEJA.

Asante, karibu kwa maswal zaidi.
TUNAOMBA MCHANGANUO NA BEI ZENU HADI KISIMA KUKAMILIAK
 
Maliza siku kwa kufanya maamuzi ya kuchimba kisima chenye maji ya uhakika
 
Mungu mwema, kumekucha salama .... Anza weekend kwa kufanya maamuzi ya kuchimba kisima nasi.... Karibu... Offer kede kede
 
Kila siku mpya ni zawadi kutoka kwa Mungu, fanya maamuzi bora kwa kuchimba kisima chenye maji ya uhakika nasi... Karibu
 
Siku mpya kazi zinaendelea... Karibu tukuhudumie
 
Back
Top Bottom