Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Furaha yetu ni mteja wetu kupata maji
IMG-20210729-WA0018.jpg
 
Tunapima kwa machine za kisasa
Tunachimba kwa machine za kisasa
NB: HATUTUMII HISIA WALA UGANGA
 
Kisima ni muhimu saana kwa uzalishaji uliotukuka
 
Malizia wiki kwa kupanga kuchimba kisima chenye maji ya uhakika na ya kutosha
 
Weekend njema... Karibu ujipatie taarifa sahihi kabla hujachimba kisima.
 
Kumekucha salama, asante Mungu.

Karibu tukupatie huduma bora na yenye manufaa yaa muda mrefu.
 
Mkuuu mm fundi bomba naomba nafac kwenye office yenu kujifukiza Kazi hiyo mkiwa dar site naombeni nafac ya kutembeea na nyie kwenye kazi kujifunza
 
Karibu wateja wetu mliopo sehem toafauti hapa nchini mjipatie huduma bora za kuchimba visima, uatafiti wa maji, kushauri na kusaidia usajili wa visima , marekebisho ya pump na vifaa vyoote vinavyohusika na visima. Karibu saaan.

Mteja kwetu nguzo
 
Back
Top Bottom