Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Upo sahihi wakati mwingine vipimo vinagoma lakini matokeo yanakubali
 
Mimi sijasema maji baridi..nimesema option ya mteja kujua maji kabla ya kuchimbiwa kisima
 
Mimi sijasema maji baridi..nimesema option ya mteja kujua maji kabla ya kuchimbiwa kisima
Boss lugha nyepesi ili kuondoa migogoro isiyo ya lazima ni kwamba baada ya kupima tunapata point yenye wastan mzuri WA maji.

Lakin kuhusu chumvi au wingi WA maji ni baada ya kuyapata maji.

Mbona ni rahisi tu. Kwanini umjaze upepo WA majibu ambayo wewe Huna uhakika nayo.?

Mara ngapi machine inaonesha fresh water kwenye profile zote lakin ukichimba unapataka maji yenye chumvi Kali tena hayafai kunywa kabisa
 
Hiyo ni experience ya vifaa vyako
 
juma mpemba nimeanza kutumia jamiiforum miaka minne kabla yako, sifa ya humu ni kuwa mkweli lasivyo utaumbuka. Maana watu WA humu wanajua meengi saana sema tu wanakuchoota upepo siku ya siku unafedheeka.

Kuwa Makini ndugu yangu
 
Hio

Kunizid miaka 4 hai justify kwamba kila utachosema ni sahihi
Sio kila Ila kwenye Hilo mkuu...

Sina ubaya na wewe Ila kwenye Hilo kama ilikupa matokeo basi usidhan ni mashine it just happened tu mkuu....nenda hata DDCA nenda WA wahindi watakwambia Hilo halinaga majibu yaliyo na uhalisia asilimia mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…