Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Ndio,Uwezekano upo tena mkubwa saana tu,

Viashiria ni kujua historia ya mwamba na asili ya eneo husika.

NB:UPIMAJI HAUWEZI KUTOA JIBU LA 100% kama maji ni chumvi au sio chumvi lakin sababu zingine ambatano ndio zinaweza.
Shukrani Engineer mi naomba kuuliza kubadilish kidogo swali hapo hapo.

Sasa nikikuita huku ambako hujawai kufika unaweza kubaini kama maji yatakuwa chumvi au matamu ?
 
Karibu, utafiti unaweza onesha uwezekano wa uwepo wa chumvi au usioneshe. So kikubwa ni utafiti. Kama utafiti ukiwa dilema kwenye salinity pia napaswa kukujuza kama mteja
 
Aah kama nimekulewa mpaka sasa inaelekea hakuna jinsi ya kupata taarifa mapema kutumia utafiti kwamba kisima husika kikichimbwa kitakuwa na maji aina fulani. Niweke sawa hapo, mi mkulima nitachimba tu muda ukifika hili swala linanipa shida na hakuna aliyechimba kijiji chote hata jirani.
 
Kuna viashiria vya awali ambavyo huenda vikasaidia kupunguza risk,
Lakin pia kuna level ya chumvi(salinity scale kwa kusoma ph) inayokubalika kwenye kilimo.
Mfano Namanyere-nkasi kuna maji ya chumvi lakin mazao yanastawi kwa kuwa chumvi si kali.

Mfano wa pili ni Dodoma kuna maji ya chumvi lakn kuna miradi mikubwa ya umwagiliaji.

Chumvi kali kama ya baadhi ya maeneo ya pwani kama pale chalinze (baadhi ya maeneo) ni kali kiasi kwamba mazoa mengi hayapend.

Hivyo kuliangalia eneo kwa kutizama uoto ndio vitu ambavyo vinaweza kukusaidia kupiga hatua inayofuata.

Asante karibu saana
 
Asante nimeelewa vizuri mpaka maswali yameisha, pia shukrani pia kwa lugha na malekezo rafiki na kutotumia lugha zenu za kiufundi kufanya mambo yaonekane maguuuumu. Tutafutana Mungu akijalia uzima.
 
Karibu saana , Mungu akubariki. Waokoe na wenzio.

Upendo ndio chaguo sahihi.
 
masika inakaribia kuisha kwa maeneo mengi hivyo ni jambo jema ukajiandaa kukabiliana na kiangazi
 
Hili jua linalowaka ni salam tosha kwamba kama huna maji ya uhakika ni hatari kwa mimea yako na mifugo yako
 
Back
Top Bottom