Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani Engineer mi naomba kuuliza kubadilish kidogo swali hapo hapo.Ndio,Uwezekano upo tena mkubwa saana tu,
Viashiria ni kujua historia ya mwamba na asili ya eneo husika.
NB:UPIMAJI HAUWEZI KUTOA JIBU LA 100% kama maji ni chumvi au sio chumvi lakin sababu zingine ambatano ndio zinaweza.
Karibu, utafiti unaweza onesha uwezekano wa uwepo wa chumvi au usioneshe. So kikubwa ni utafiti. Kama utafiti ukiwa dilema kwenye salinity pia napaswa kukujuza kama mtejaShukrani Engineer mi naomba kuuliza kubadilish kidogo swali hapo hapo.
Sasa nikikuita huku ambako hujawai kufika unaweza kubaini kama maji yatakuwa chumvi au matamu ?
Aah kama nimekulewa mpaka sasa inaelekea hakuna jinsi ya kupata taarifa mapema kutumia utafiti kwamba kisima husika kikichimbwa kitakuwa na maji aina fulani. Niweke sawa hapo, mi mkulima nitachimba tu muda ukifika hili swala linanipa shida na hakuna aliyechimba kijiji chote hata jirani.Karibu, utafiti unaweza onesha uwezekano wa uwepo wa chumvi au usioneshe. So kikubwa ni utafiti. Kama utafiti ukiwa dilema kwenye salinity pia napaswa kukujuza kama mteja
Kuna viashiria vya awali ambavyo huenda vikasaidia kupunguza risk,Aah kama nimekulewa mpaka sasa inaelekea hakuna jinsi ya kupata taarifa mapema kutumia utafiti kwamba kisima husika kikichimbwa kitakuwa na maji aina fulani. Niweke sawa hapo, mi mkulima nitachimba tu muda ukifika hili swala linanipa shida na hakuna aliyechimba kijiji chote hata jirani.
Asante nimeelewa vizuri mpaka maswali yameisha, pia shukrani pia kwa lugha na malekezo rafiki na kutotumia lugha zenu za kiufundi kufanya mambo yaonekane maguuuumu. Tutafutana Mungu akijalia uzima.Kuna viashiria vya awali ambavyo huenda vikasaidia kupunguza risk,
Lakin pia kuna level ya chumvi(salinity scale kwa kusoma ph) inayokubalika kwenye kilimo.
Mfano Namanyere-nkasi kuna maji ya chumvi lakin mazao yanastawi kwa kuwa chumvi si kali.
Mfano wa pili ni Dodoma kuna maji ya chumvi lakn kuna miradi mikubwa ya umwagiliaji.
Chumvi kali kama ya baadhi ya maeneo ya pwani kama pale chalinze (baadhi ya maeneo) ni kali kiasi kwamba mazoa mengi hayapend.
Hivyo kuliangalia eneo kwa kutizama uoto ndio vitu ambavyo vinaweza kukusaidia kupiga hatua inayofuata.
Asante karibu saana
Karibu saana , Mungu akubariki. Waokoe na wenzio.Asante nimeelewa vizuri mpaka maswali yameisha, pia shukrani pia kwa lugha na malekezo rafiki na kutotumia lugha zenu za kiufundi kufanya mambo yaonekane maguuuumu. Tutafutana Mungu akijalia uzima.