GE2025 Tunatokaje? Huu utakuwa uzi maalum. Mihemko tuweke pembeni. Ila ukweli na suluhu tusiviache

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Miaka inavyokwenda naona sura zile zile...

Viongozi wale wale tokea wakati nipo shule. mpaka sasa...

Usicheze na siasa, siasa ni mchezo mchafu...

Wanataka umaarufu...

Wanasiasa wabongo wengi waongo...
 
Hapo kwenye busara ndio kipengele nani yupo tayari kujishusha na kupoteza haki yake kwaajili ya taifa?

..Mama Abduli alikuwa na miaka 4 ya kutekeleza 4R lakini akaamua ku-bet kwenye ubabe, na matokeo yake ndio haya.

..Huu uchaguzi alikuwa na uwezo wa kushinda hata kama Tume ingeundwa na wapinzani. Sasa kwanini alitumia njia aliyotumia kutafuta ushindi?Tuna viongozi waliokosa utu na maono.
 
Hamjambo wakuu!

Poleni wote kwa yote yaliyotokea. Waliopoteza wapendwa wao, waliopata majereha, waliopoteza mali iwe kwa kuibiwa au kuchomwa moto. Na zaidi Mungu awape pumziko linalowastahili waliopoteza maisha.

Upande wangu mambo yalikuwa magumu sana ukizingatia ninapoishi na karibu kabisa na barabara kuu ya Morogoro road ambapo hekaheka zilikuwa zikiendelea tangu siku ya kwanza mpaka siku ya mwisho. Risasi, fataki na mabomu ya machozi vilirindima mara kwa mara katika nyumba yetu.

Hakika watoto walipata tabu hasa siku ya kwanza kwani ndio mapambano yalikuwa makali. Moshi wa mabomu ya machozi ulikuwa ukiingia ndani. Usiulize kuhusu vioo kwani unaelewa nini kilitokea.

Umeme ulikatika so siku tatu tangu tarehe 29-31 tulikuwa giza. Watu kadhaa walipigwa risasi nikiwa nashuhudia dirishani. Mmoja kati yao alifariki.

Haya yote nazungumzia ili kuonyesha hatari, matokeo au madhara ya mambo kama haya. Kwamba wapo walioathirika moja kwa moja tangu siku ya kwanza, wapo waliopoteza maisha, wapo walioibiwa, walioharibiwa mali na biashara zao, kisha na wale ambao wamelala njaa kwa kukosa pesa ya kula

Wapo ambao walikuwa wamefika stendi kutokea mkoani hawa nao moto uliwawakia kwa hapakuwa na usafiri. Barabara zilitawaliwa na doria ya kufa mtu zilizofanywa na polisi.

Nikiacha stori sasa maana kila mtu anastori yake na tutakesha hapa.

Mambo ninayoyaona;

1. Ni kweli bado watu wana hasira. Hilo nimefuatilia kwa kupita huku na huko.
Hizi hasira za hawa watu zinapaswa zitafutiwe suluhu bora yenye kulileta taifa pamoja.

2. Mbinu mpya zitafutwe. Mbinu za nguvu zinaonekana kugonga mwamba. Matumizi ya nguvu yanalundika chuki, hisia za maumivu katika mioyo ya watu jambo ambalo linahatarisha usalama wa nchi.

3. Kuna haja ya kutafuta maridhiano na suluhu ya kweli hasa inayogusa wananchi wa kawaida ambao wengi ndio walioandamana na kuleta machafuko.
Tusijidanganye kuwa tutawadhibiti siku zote

Kilichotokea wote tunakiri hakijawahi kutokea. Na limekuwa jambo kubwa sana kwetu.

4. Uundwe mkakati wa kuing'oa mbegu ya chuki inayomea baina ya Wananchi wa chini na Watawala ambayo naona inahamia kwa Polisi.

5. Kutunishiana misuli hakutakuwa na mshindi zaidi kila mtu atapoteza hasa taifa letu. Kwani itakuwa kama vita ya gangs ambazo hazinaga mwisho wala hazinaga mshindi.
Hekima na busara na muhimu sana.

6. Hekima na Busara ni zipi sasa?
Kuna njia mbili;
a) Haki itendeke.
Kwamba maovu yaliyofanyika na yaliyopitiliza lazima yalipwe kwa haki.

b) Kusubiri Watu wasahau ikiwa ni wasahaulifu.
Kikawaida watu wasio na haki ni wasahaulifu. Yaani hawana kisasi.
Mbinu ya kupoteza muda na kuwasahaulisha zikitumika tutarudi kama zamani.

Kutenda haki najua ni ngumu hasa kwa watawala wa kibinadamu. Kwamba mtu alikuwa kiongozi leo akanyee debe au afungwe kifungo cha maisha au kuhukumiwa kunyongwa. Kwa kweli ni binadamu wachache wenye nafasi ya mamlaka atakubali kitu kama hicho.

Kwenye biblia Binadamu aliyeweza kujihukumu akiwa na mamlaka tena hukumu ya kuuawa Baada ya kulala na mkwewe ni Yuda mtoto wa YAKOBO.
Na hiyo ndio Legacy kuu ya Yuda mpaka hivi leo na hata Yesu kuitwa Simba wa Yuda.

7. Ni kweli watu wamekufa. Tunafanyaje?
Tuwaache wafe kama panya? Kwa sababu tutasanganya mataifa mengine lakini vipi sisi wenyewe humu ndani tutajidanganya? Tutapuuza?
Hali iliyotokea tutaona ni kawaida?

Jibu ni kuwa sio kawaida.

8. Huu sio muda wa kulaumiana kwamba nani kasababisha haya.
Upande wa serikali unasema waliosababisha haya ni wachochezi wa maandamano, na serikali inasema itachukua hatua kali. Lakini swali linakuja je hiyo ndio suluhu?
Tangu nimeanza kuona waandika mtandaoni wakifuatilia na kukamatwa mpaka sasa ni zaidi ya miezi sita. Je imesaidia kuzuia kilichotokea. Jibu ni hapana! Zaidi sana imechochea.

9. Waandamanaji wao wanasema serikali na askari wapo responsible n kilichotokea kwa madai kwamba wao walikuwa wanadai haki ya kuzuia uchaguzi kwa kuhitaji reforms. Na kudai haki za waliotekwa na kuuawa.
Lakini bahati mbaya zaidi kwenye maandamano ambayo kwa hakika uhalifu ulitokea wa kuvunja, kuiba na kuchoma vilitokea. Jambo ambalo halikuwa sahihi kufanywa na waandamanaji.
Wakati upande wa pili askari nao wakifanya makosa kwa kutumia nguvu kubwa mpaka kupelekea kuua watu wengi..

10. Ni muhimu viongozi wakuu wa juu wakitoa matamko watao kwa uangalifu mkubwa sana tena ikibidi. Sio lazima wazungumze hasa kama wanajijua wanaweza kuzungumza kauli tata au zenye kuleta hisia za mihemko kwa wasikilizaji.

11. Tatizo la haki ni kuwa inakata yoyote. Watekaji na wauaji wapewe haki zao. Na waliofanya uhalifu kwenye maandamano wapewe haki zao kwa mujibu wa sheria.

12. Sishauri tujifanye kama hakijatokea kitu. Haitakuwa nzuri huko baadaye. Tusipuuze.
Tumeona huu mwanzo ulivyokuwa. Hatujui na haitabiriki huko mbele nini kitatokea.

13. Tusi-bet. Tusitumie mabavu. Tulipofikia sio sehemu ya kutumia mabavu tena.

14. Tunaweza kuwapa wananchi wanachotaka kwa makubaliano ya usalama. Najua ni ngumu lakini ndio njia salama ya kuokoa pande zote mbili.
Hapa kuna mambo kadhaa.
Baadhi ya viongozi wanahofia usalama wao na mali zao iwe walizichuma kihalali au kifisadi.
Wakati wananchi wao wanahitaji katiba mpya itakayowapa wananchi haki sawa hasa kwa upande wa vyama vyote vya siasa kuwa na haki sawa.

15. Maridhiano ya amani yanayohusu kusameheana yanatakiwa yawe ya dhati na kuwe na mabadiliko ya. Kikatiba yatakayozuia matukio ya utekaji na mauaji.
Kiburi kisiwe wala kushiriki katika meza ya mazungumzo kila mmoja afike akiwa na lengo la kutaka amani sio tuu ya utulivu wa nchi bali amani ya Moyo wake.

16. Unajua maandamano ya chuki ya kuhamasisha sijui nyumba ya fulani iko wapi, sijui mali ya fulani iko wapi, ni hatua kamili ya kufikia ugaidi. Kama taifa hatutakiwi kufikia huko. Ugaidi hauondolewi na vitisho.
Ugaidi ni imani iliyokomaa kwa mtu aliyeona hana njia nyingine zaidi ya kujitoa mhanga kufanya uhalifu bila kufuata Sheria za kiungwana.

17. Kilichotokea tumeona. Ule ni uhalifu ambao unadhuru watu wote. Waliomo na wasiokuwemo. Hata hatua ya kukabiliana na ugaidi ni hatari zaidi kwani lazima utajikuta unawapiga hata wasiohusika. Na kuongeza kama sio kupanua maadui.

18. Ninaomba watu washushe mioyo yao. Najua maumivu ya kuonewa yakoje, kudhulumiwa, kutekwa, na kuondokewa na mwenza. Serikali nanyi msikaze shingo mkifikiri kuwa nguvu mnayo. Jishusheni. Meza ya mazungumzo mkae.
Kisha mjadili haki itendekeje bila ubinafsi.

Hofu na mihemko ikiamua haki huleta madhara makubwa sana. Kwani kisasi kinachoendeshwa na mihemko na hofu kinadhuru wahusika na wasiohusika.

Hata hayo mambo ya utekaji ni matokeo ya kile kile kiitwacho hofu.
Sasa njia pekee ya kuondokana na hofu ni kukaa na kuzungumza kwa dhamiri.

Kwa sababu bila kufanya hivyo wote tunajua kuwa tutaumizana sana hata kama wengine wataumia kwa kuchelewa lakini kila mtu atafikiwa na maumivu kwa wakati wake. Ni suala la muda bila kujali ni mkubwa au mdogo. Muonewa au unayeonea.

Kwa sababu ugomvi unatanuka na wahusika wanaongezeka.

Kufikia hapa sina la ziada.
Tulinde nchi yetu.
Tutende Haki.
Tupendane.
Tusikamiane na kuviziana. Hakunaga mshindi kwenye vita za ndugu.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Kamwe hatuogopi tena CCM mm nikiwa wa Kwanza siogopi tena Kifo
 
..mambo yaliyofanywa na POLISI dhidi ya waandamanaji sio ugaidi?

..matukio ya kuteka na kupoteza wanaharakati sio ugaidi?

..Ni lazima watendaji wa vyombo vya dola, Polisi, Msajili wa vyama, Tume ya uchaguzi, Mahakama, waliotufikisha hapa wawajibike halafu ndio tutafute muafaka.
Wanawajibika kwa nani? Nani wa kuwawajibisha? Nyie watu hamuelewi kuwa wenzenu hawatanii?
 
Kuna watu ukiwaambia huu ni mwanzo wanaweza wasikuelewa. Jambo kubwa unaloweza kumtisha mwanadamu ni KIFO, Watanzania wamekiona kifo kilivyo, wamekinusa kifo. Mioyo yao haina hofu tena.

Hawa watu watapokuja wakati mwingine hawatakuja mikono mitupu.

Wito wangu kwa viongozi waendelee kushupaz shingo. Wameshinda pambano, hawajashinda vita.

Hivi vita hakuna aliyeshinda.
Wote tumepoteza.
Tumepoteza vijana wakutosha
Wameacha wajane na yatima.
Miundombinu imeharibika.
Yaani kiufupi tupo kubaya sana.

Kama hatua za kiakili zisipochukuliwa italeta shida mbele kwani wakati ujao watakuwa wamejiandaa vilivyo ikiwezekana na silaha.

Sitaki kuongelea wapi wamefeli ambapo wangefanya wangefanikiwa lakini ukweli ni kuwa kuna haja ya kulifuatilia hili jambo kwa ukaribu.

Machawa wasishirikishwe kwenye hii ishu kwani nao ni sehemu ya wahanga
 
Hamjambo wakuu!

Poleni wote kwa yote yaliyotokea. Waliopoteza wapendwa wao, waliopata majereha, waliopoteza mali iwe kwa kuibiwa au kuchomwa moto. Na zaidi Mungu awape pumziko linalowastahili waliopoteza maisha.

Upande wangu mambo yalikuwa magumu sana ukizingatia ninapoishi na karibu kabisa na barabara kuu ya Morogoro road ambapo hekaheka zilikuwa zikiendelea tangu siku ya kwanza mpaka siku ya mwisho. Risasi, fataki na mabomu ya machozi vilirindima mara kwa mara katika nyumba yetu.

Hakika watoto walipata tabu hasa siku ya kwanza kwani ndio mapambano yalikuwa makali. Moshi wa mabomu ya machozi ulikuwa ukiingia ndani. Usiulize kuhusu vioo kwani unaelewa nini kilitokea.

Umeme ulikatika so siku tatu tangu tarehe 29-31 tulikuwa giza. Watu kadhaa walipigwa risasi nikiwa nashuhudia dirishani. Mmoja kati yao alifariki.

Haya yote nazungumzia ili kuonyesha hatari, matokeo au madhara ya mambo kama haya. Kwamba wapo walioathirika moja kwa moja tangu siku ya kwanza, wapo waliopoteza maisha, wapo walioibiwa, walioharibiwa mali na biashara zao, kisha na wale ambao wamelala njaa kwa kukosa pesa ya kula

Wapo ambao walikuwa wamefika stendi kutokea mkoani hawa nao moto uliwawakia kwa hapakuwa na usafiri. Barabara zilitawaliwa na doria ya kufa mtu zilizofanywa na polisi.

Nikiacha stori sasa maana kila mtu anastori yake na tutakesha hapa.

Mambo ninayoyaona;

1. Ni kweli bado watu wana hasira. Hilo nimefuatilia kwa kupita huku na huko.
Hizi hasira za hawa watu zinapaswa zitafutiwe suluhu bora yenye kulileta taifa pamoja.

2. Mbinu mpya zitafutwe. Mbinu za nguvu zinaonekana kugonga mwamba. Matumizi ya nguvu yanalundika chuki, hisia za maumivu katika mioyo ya watu jambo ambalo linahatarisha usalama wa nchi.

3. Kuna haja ya kutafuta maridhiano na suluhu ya kweli hasa inayogusa wananchi wa kawaida ambao wengi ndio walioandamana na kuleta machafuko.
Tusijidanganye kuwa tutawadhibiti siku zote

Kilichotokea wote tunakiri hakijawahi kutokea. Na limekuwa jambo kubwa sana kwetu.

4. Uundwe mkakati wa kuing'oa mbegu ya chuki inayomea baina ya Wananchi wa chini na Watawala ambayo naona inahamia kwa Polisi.

5. Kutunishiana misuli hakutakuwa na mshindi zaidi kila mtu atapoteza hasa taifa letu. Kwani itakuwa kama vita ya gangs ambazo hazinaga mwisho wala hazinaga mshindi.
Hekima na busara na muhimu sana.

6. Hekima na Busara ni zipi sasa?
Kuna njia mbili;
a) Haki itendeke.
Kwamba maovu yaliyofanyika na yaliyopitiliza lazima yalipwe kwa haki.

b) Kusubiri Watu wasahau ikiwa ni wasahaulifu.
Kikawaida watu wasio na haki ni wasahaulifu. Yaani hawana kisasi.
Mbinu ya kupoteza muda na kuwasahaulisha zikitumika tutarudi kama zamani.

Kutenda haki najua ni ngumu hasa kwa watawala wa kibinadamu. Kwamba mtu alikuwa kiongozi leo akanyee debe au afungwe kifungo cha maisha au kuhukumiwa kunyongwa. Kwa kweli ni binadamu wachache wenye nafasi ya mamlaka atakubali kitu kama hicho.

Kwenye biblia Binadamu aliyeweza kujihukumu akiwa na mamlaka tena hukumu ya kuuawa Baada ya kulala na mkwewe ni Yuda mtoto wa YAKOBO.
Na hiyo ndio Legacy kuu ya Yuda mpaka hivi leo na hata Yesu kuitwa Simba wa Yuda.

7. Ni kweli watu wamekufa. Tunafanyaje?
Tuwaache wafe kama panya? Kwa sababu tutasanganya mataifa mengine lakini vipi sisi wenyewe humu ndani tutajidanganya? Tutapuuza?
Hali iliyotokea tutaona ni kawaida?

Jibu ni kuwa sio kawaida.

8. Huu sio muda wa kulaumiana kwamba nani kasababisha haya.
Upande wa serikali unasema waliosababisha haya ni wachochezi wa maandamano, na serikali inasema itachukua hatua kali. Lakini swali linakuja je hiyo ndio suluhu?
Tangu nimeanza kuona waandika mtandaoni wakifuatilia na kukamatwa mpaka sasa ni zaidi ya miezi sita. Je imesaidia kuzuia kilichotokea. Jibu ni hapana! Zaidi sana imechochea.

9. Waandamanaji wao wanasema serikali na askari wapo responsible n kilichotokea kwa madai kwamba wao walikuwa wanadai haki ya kuzuia uchaguzi kwa kuhitaji reforms. Na kudai haki za waliotekwa na kuuawa.
Lakini bahati mbaya zaidi kwenye maandamano ambayo kwa hakika uhalifu ulitokea wa kuvunja, kuiba na kuchoma vilitokea. Jambo ambalo halikuwa sahihi kufanywa na waandamanaji.
Wakati upande wa pili askari nao wakifanya makosa kwa kutumia nguvu kubwa mpaka kupelekea kuua watu wengi..

10. Ni muhimu viongozi wakuu wa juu wakitoa matamko watao kwa uangalifu mkubwa sana tena ikibidi. Sio lazima wazungumze hasa kama wanajijua wanaweza kuzungumza kauli tata au zenye kuleta hisia za mihemko kwa wasikilizaji.

11. Tatizo la haki ni kuwa inakata yoyote. Watekaji na wauaji wapewe haki zao. Na waliofanya uhalifu kwenye maandamano wapewe haki zao kwa mujibu wa sheria.

12. Sishauri tujifanye kama hakijatokea kitu. Haitakuwa nzuri huko baadaye. Tusipuuze.
Tumeona huu mwanzo ulivyokuwa. Hatujui na haitabiriki huko mbele nini kitatokea.

13. Tusi-bet. Tusitumie mabavu. Tulipofikia sio sehemu ya kutumia mabavu tena.

14. Tunaweza kuwapa wananchi wanachotaka kwa makubaliano ya usalama. Najua ni ngumu lakini ndio njia salama ya kuokoa pande zote mbili.
Hapa kuna mambo kadhaa.
Baadhi ya viongozi wanahofia usalama wao na mali zao iwe walizichuma kihalali au kifisadi.
Wakati wananchi wao wanahitaji katiba mpya itakayowapa wananchi haki sawa hasa kwa upande wa vyama vyote vya siasa kuwa na haki sawa.

15. Maridhiano ya amani yanayohusu kusameheana yanatakiwa yawe ya dhati na kuwe na mabadiliko ya. Kikatiba yatakayozuia matukio ya utekaji na mauaji.
Kiburi kisiwe wala kushiriki katika meza ya mazungumzo kila mmoja afike akiwa na lengo la kutaka amani sio tuu ya utulivu wa nchi bali amani ya Moyo wake.

16. Unajua maandamano ya chuki ya kuhamasisha sijui nyumba ya fulani iko wapi, sijui mali ya fulani iko wapi, ni hatua kamili ya kufikia ugaidi. Kama taifa hatutakiwi kufikia huko. Ugaidi hauondolewi na vitisho.
Ugaidi ni imani iliyokomaa kwa mtu aliyeona hana njia nyingine zaidi ya kujitoa mhanga kufanya uhalifu bila kufuata Sheria za kiungwana.

17. Kilichotokea tumeona. Ule ni uhalifu ambao unadhuru watu wote. Waliomo na wasiokuwemo. Hata hatua ya kukabiliana na ugaidi ni hatari zaidi kwani lazima utajikuta unawapiga hata wasiohusika. Na kuongeza kama sio kupanua maadui.

18. Ninaomba watu washushe mioyo yao. Najua maumivu ya kuonewa yakoje, kudhulumiwa, kutekwa, na kuondokewa na mwenza. Serikali nanyi msikaze shingo mkifikiri kuwa nguvu mnayo. Jishusheni. Meza ya mazungumzo mkae.
Kisha mjadili haki itendekeje bila ubinafsi.

Hofu na mihemko ikiamua haki huleta madhara makubwa sana. Kwani kisasi kinachoendeshwa na mihemko na hofu kinadhuru wahusika na wasiohusika.

Hata hayo mambo ya utekaji ni matokeo ya kile kile kiitwacho hofu.
Sasa njia pekee ya kuondokana na hofu ni kukaa na kuzungumza kwa dhamiri.

Kwa sababu bila kufanya hivyo wote tunajua kuwa tutaumizana sana hata kama wengine wataumia kwa kuchelewa lakini kila mtu atafikiwa na maumivu kwa wakati wake. Ni suala la muda bila kujali ni mkubwa au mdogo. Muonewa au unayeonea.

Kwa sababu ugomvi unatanuka na wahusika wanaongezeka.

Kufikia hapa sina la ziada.
Tulinde nchi yetu.
Tutende Haki.
Tupendane.
Tusikamiane na kuviziana. Hakunaga mshindi kwenye vita za ndugu.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Tatizo la meza ya mazubgumzo hapa Tanzania ni kwamba ccm wanataka mawazo yao ndo yakubliwe na wengine
 
Kuna watu niliwahi kuwambia msiwasingizie washauri et wanaomshauri vibaya.
Nikawambia uyu mama yenu ana roho ngumu,na pia ni katili sana msiwasingizie watu.haya Leo kila mtu ameshuhudia vile askari wa kukodishwa walivyoua watu waliokua majumbani na barabarani .

Watu wamekufa jamani,Kuna maiti zimekata nje siku mbili Amna wa kuzistili

Mungu tusaidie asira zipoe vifuani humu maana saiz unaweza kutana na askari yeyote ukamchoma kisu potelea pote
 
Wewe ni msenge mmoja tu, ulikua umelipwa ili kuwakatisha tamaa wananchi kwa kudai hakuna cha maandamano...takataka wewe
 
Ni kumuua Samuya na genge lake kwanza halafu mengine yatafuata.

Sasa mkuu unafikiri hao waandamanaji wangefika kwa Samuya wasingefanya hayo? Ni kwamba wameshindwa. Huu ni ukweli.
Unafikiri samuya atakuwa anawasubiri mpaka wamfiki yeye anawatazama tuu?

Mimi hapa nje ninapoishi kulikuwa ni uwanja wa vita. Niliona yaliyokuwa yanatokea tathmini ya waandamanaji kufika hata kule mjini ingewachukua miaka mingi sana na kujiandaa kwa siku nyingi sana.

Uzoefu zero
Hawana silaha
Hawana mbinu,
Rahisi kulaghaiwa,hasa na wale wanaowaamini. Hili sitalieleza.
Waoga.
Hawana focus, wanaamua wanatoka labda Mwenge wanaelekea Morroco, wanafika makumbusho wanaona Maduka wanasahau hata wanapoelekea wanaingia kwenye maduka wanaiba. Wanatawanyika wanabaki wachache, askari wanakuja wanawakimbiza.

Wanachukulia wanachokifanya ni jambo rahisi na litakaloisha siku moja. Wanafikiri kumtoa Rais ni kama kumtoa panya kwenye shimo.
Hawana Stamina ila wana nia.
Stamina kwenye vurugu na maandamano ni jambo muhimu na la lazima. Unapambana masaa yasiyozidi kumi unashindwa.
Huna chakula, huna mafuta ya usafiri, huna vitu vyote muhimu.
Unatoboaje hapo?
 
..hatuwezi kumuwajibisha Raisi, lakini wote walioko chini yake wanaweza kuwajibishwa.

..hatua ya kwanza ni kuwastaafisha wote kwa manufaa ya umma.
Mkuu hao aatu wanawajibishwa na nani? Mkuu kweli hujui maelekezo yanavyotolewa? Nani atawagusa hao watu?
Wanastaafishwa na nani ikiwa boss wao yupo pamoja nao?
 
Wewe ni msenge mmoja tu, ulikua umelipwa ili kuwakatisha tamaa wananchi kwa kudai hakuna cha maandamano...takataka wewe

Ulikuwepo kwenye maandamano mkuu?

Mimi nilikuwepo, nilishuhudia kila kitu kilichotokea.
Usilete mihemko Mkuu usifikiri unaipenda nchi pekeako mzee
 
Wewe si ndio wazazi wako walikuasa usiwatete Watanzania ,imekuwaje tena?!
Huyu Robert Heriel Mtibeli ni content creator. Kila kitu kwake ni fursa anapenda kuandika andika.

Ukisoma mabandiko yake ya nyuma hasa karibia hizi siku za uchafuzi unasoma patterns ni kajamaa kanapenda kuchapisha mabandiko ambayo tunaita contents.

Huwa mabandiko yake marefu nayapuuzaga maana ninayasoma kama content tu za watu wa insta.

Ni kapuuzi sana haka kajamaa.
 
Ukiwa na akili ukimsikiliza hotuba yake ya leo, utaelewa yale majibu ni ya mzee msoga.

Means wame Jipanga na plan b, ndio maana wana jeuri ya kusema watakalo.

Anyway hatuhitaji suluhu na wahuni, bora kufa umesimama kuliko kuishi una lamba miguu.

Plan zozote zile kama lengo ni kutunishiana misuli hakunaga mshindi hapo nakuambia.

Kila mtu atataka afanye kumkomoa mwingine. Na binadamu akiamua lake kumzuia ni ngumu yaani huwezi kupambana naye. Ni suala la muda tuu.

Ulikuwepo field lakini mkuu? Hasa kwenye statement yako ya mwisho?
 
Back
Top Bottom