Tunauza Balo za Mtumba Grade A Aina Zote

pia nagawa ballo nusu

kwa sasa kuna balo ya blouse na balo ya skin jeans

pia kuna balo nusu za shuka zenye shuka mbili na foronya nne
 
Naulizia suruali za tracksuit za mtumba za kiume ambazo Ni za wakubwa na watoto !?
 
ndiyo nyingi zinakuwa zipo Full
cotton na mtelezo zinakuwa mchanganyiko
Na zenyewe zinakuwa za kuanzia umri gani na pia zipo mchanganyiko au Ni za kiume tu na pia zinakuwa ngapi na balo lake Bei gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…