Tunauza Balo za Mtumba Grade A Aina Zote

Tunauza Balo za Mtumba Grade A Aina Zote

pia nagawa ballo nusu

kwa sasa kuna balo ya blouse na balo ya skin jeans

pia kuna balo nusu za shuka zenye shuka mbili na foronya nne
 
Tunauza Balo za Mtumba Uzito tofauti tofauti,
Kuna Balo za UK Bei yake Ipo juu kidogo kutokana na Ubora na aina ya material ya Nguo zake,
Kuna Balo za China hizi bei yake Ipo chini Kidogo kulingana na ubora wa Bidhaa zake.
Zifuatazo ni Aina za Balo na Bei zake;
Nguo za watoto Kg 45 UK @680,000
0_5yrs
Nguo za watoto Kg 100 UK @1,400,000

Nguo za watoto 5-12yrs 420,000 Europe

Gauni Mixer Kg 45 China @350,000

Shuka UK @800,000
Zinakaa pair 24 na foronya mbili au nne

Pollydress(Nightdresses) UK @520,000

Blauzi Chiffon China @550,000

Mashati ya Kiume Mikono Mirefu @650,000

Mashati ya kiume Mikono Mifupi @680,000

Gauni za watoto Kg 46 2-10yrs @750,000

Baibui @550,000

Suruali za Kadeti za Kiume @480,000

Track suit zinakaa kwa pair Kg 100. @1,000,000

Pochi China @350,000

Pochi UK @480,000

Mitandio Mikubwa @530,000

Wallet za Kike @ 380,000

Mzigo unatumwa Popote ulipo
pia kwa Mtu anaeanza anaweza kushare na mwingine wakagawana Balo..

Napatikana External Ubungo,
Mzigo Ni kwa delivery

Balo ni za uhakika hazijachakachuliwa..
Mawasiliano:0755155782 or 0685 684 325

Kwa Maswali,Ushauri na Nyongeza juu ya biashara ya Mtumba karibu pia.

UPDATES
Cardet no moja kg 42. 470,000

Shuka mchanganyiko no 1. 450,000

Shati za kiume mchanganyiko 650,000

Blouse za kike mchanganyiko 500,000

Nguo za mazoezi mchanganyiko 450,000

Madera 520,000

Pillow cover 300,000


Jampsuit 450,000

Nafanya delivery

Order we deliver
0755155782

Asanteni kwa kutuamini.
Naulizia suruali za tracksuit za mtumba za kiume ambazo Ni za wakubwa na watoto !?
 
Back
Top Bottom