Tunauza heka Arusha

Tunauza heka Arusha

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Heka zipo Arusha maeneo Kingori, Kikatiti, Maji ya chai na sehemu zingine.

Heka zilizopo km 4 ni kuanzia ml 11 unaweza kulipia cash au kidogo kidogo.

Heka zilizopo km 5,6,7, na kuendelea unaweza pata kwa ml 8, 7, 6, na ni nzuri kwa kilimo, makazi, na biashara.

Nipigie simu uje ofisini twende ukaone hutojutia muda wako ni vizuri sana.

0699 -22-79-42

Wote mnakaribishwa
 
Back
Top Bottom