Tunauza heka Arusha

Tunauza heka Arusha

Sijakuelewa hizo km na ml ni measurement au vitu gani naona umeulizwa huko juu lakini bado hujaeleweka. Aliyeelewa naomba anifafanulie please.
Heka iliyo kilomita 5 unaipata Kwa milioni 6

Heka iliyo kilomita 6 sijui ni za mraba au ni za Nini unaipata Kwa Tshilingi million 7
 
Heka iliyo kilomita 5 unaipata Kwa milioni 6

Heka iliyo kilomita 6 sijui ni za mraba au ni za Nini unaipata Kwa Tshilingi million 7
Kama upo Arusha njoo ofisini ukajione mwenyewe umbali na bei zake tunazo nzùri sana hutojutia muda wako na unalipia chapu
 
Sijakuelewa hizo km na ml ni measurement au vitu gani naona umeulizwa huko juu lakini bado hujaeleweka. Aliyeelewa naomba anifafanulie please.
Heka tulizonazo zinatofautiana na bei umbali wa heka ilipo ndio bei inapungua . Njoo ofisini siku unanafasi uje uone nautapenda kama viwanja tayari zimeisha upande ule tulio vitangaza . Njoo uwahi na hizi usije ukachelewa .
 
Back
Top Bottom