Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
0 km maana yake hapo ilipofika ilibebwa na lift na haikupigwa test tangu itengenezwe. Wachezea odometer mpo wengi.
Ahha wap wewe ndo haujui wakuu hebu nisaidieni hii gari ni Auto au manual check atachment no 5 fresh
Hapa ni bongoMkuu kitufe kinaonekana ni cha manual transmission sio automatic.
Alafu gari lenyewe linaonekana wamelipark kwenye moja ya mayard huko katika nchi za Kiarabu si ajabu Dubai!!
imelipiwa teayari maisha haya fanani hata kidogo🙄🙁
Kwa hii hali ya Magufuli.. ukipata mtu akakupa 70 Mil kwa hiyo gari una bahati kubwa... seriously
imelipiwa teayari maisha haya fanani hata kidogo
nimesha uza jok ya nini sasa mkuuAcha joking..!! Hizo gari nyingi tu www.goo-netexchange.com... pia Trade Car view.. zimejaa na bei chini ya hapo... $ 29,000 used... na bado haziuziki...!!
safi kaka asant sanaHaya ndo yanaitwa magari sasa..anyway gud luck muuzaji..ukiona mtu anaongea sana jua hana kitu..gud luck
Siye waswahili hata hatujitambui wala hatufuati kujitambuahaaaaaaa haaaaa nimependa umaliziaji haka kamstsri kamwisho kabisa
Kuna uzi nimeona humu humu inaenda kwa 3 mbona wataka kula ndefu hivoAidaiwi