Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

Year :2000
Cc 990
Automatic
Tyre: New
Good Condition
Location ,opposite na uwanja wa taifa
Price 6.6m, maelewano yapo
Piga 0689-854866

20210805_173540.jpg
 
Year 2000
Cc 990
Location, Dar
Bei 6.8 ,mazungumzo yapo
Gari imetunzwa vizur kabsa,haina tatizo lolote
Piga #0689854866

20210515_182032.jpg
 
Kama ni manual Tate Mkuu mkuu huwa anazipenda
Vits manual ni tamu kuliko asali uwapo highway. Watoto wadogo kama ist, raum, sienta, passo, nk. Huwa wanapisha njia wenyewe bila kupenda.

Unakanyaga mafuta mpaka spidi 150, lakini kagari kametulia tu barabarani. Tena hapo uko peke yako. Ni hatari.
 
Tate zumbe acha uchoyo nilikuwa na suzuki vitara manual hakuna mtu aliyekuwa akiniomba ile gari, wakiona kirungu tu wanarudisha funguo
 
Harrier bado mpya kabisa haina tatzo lolote ,haijawah kupata ajali wala alama ya mkwaruzo popote.

Cc 2360
Colour black
Full body kit
Android radio
New rims
New tyre

Bei 35m

Mawasiliano 0689 854866 ,karibu
IMG-20231129-WA0022.jpg
IMG-20231129-WA0020.jpg
IMG-20231129-WA0033.jpg
IMG-20231129-WA0029.jpg
IMG-20231129-WA0031.jpg
IMG-20231129-WA0038.jpg
IMG-20231129-WA0021.jpg
 
Bei 35m ,na maongezi yapo

Fullbody kit na haijawah kupata ajali yyte ,kila ktu ni kipya

Mawasiliano 0689 854866

IMG-20231129-WA0031.jpg
 
Back
Top Bottom