Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizuri..Opposite na uwanja wa taifa - temeke
Gari iko vizuri,njoo kagua asbh
Vits manual ni tamu kuliko asali uwapo highway. Watoto wadogo kama ist, raum, sienta, passo, nk. Huwa wanapisha njia wenyewe bila kupenda.Kama ni manual Tate Mkuu mkuu huwa anazipenda
Tate zumbe acha uchoyo nilikuwa na suzuki vitara manual hakuna mtu aliyekuwa akiniomba ile gari, wakiona kirungu tu wanarudisha funguoVits manual ni tamu kuliko asali uwapo highway. Watoto wadogo kama ist, raum, sienta, passo, nk. Huwa wanapisha njia wenyewe bila kupenda.
Unakanyaga mafuta mpaka spidi 150, lakini kagari kametulia tu barabarani. Tena hapo uko peke yako. Ni hatari.
Kila kitu kipya lakini gari sio jipya... Si ndio?Bei 35m ,na maongezi yapo
Fullbody kit na haijawah kupata ajali yyte ,kila ktu ni kipya
Mawasiliano 0689 854866View attachment 2829551View attachment 2829553View attachment 2829552View attachment 2829554View attachment 2829555View attachment 2829556View attachment 2829557View attachment 2829558View attachment 2829559