- Thread starter
- #41
Nitakujuza ndugu yangu0753123384 nipigie kama bado ipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakujuza ndugu yangu0753123384 nipigie kama bado ipo
Nitakujuza ndugu yangu kama itakuepo0753123384 nipigie kama bado ipo
Nimekujibu mkuu sorry sikua onlineAfu nijibu pm😪
Wewe ni tapeli gari ipo ofisini kwetu magomeni na haiuzwi bei hyo wewe unakujaje kuitangaza kwa 5m?Sio utapeli ndugu yangu gari ipo na kabla hujanunua unaruhusiwa kuiangalia na kuikagua kama umeridhika nayo na unaitaka ndo unaweza kufanya malipo na ukaichukua gari....kumhukumu mtu kwa kitu ambacho hukijui ni dhambi pia
Naona mmekutana hapo,maana na nyie wa pale mlimani city ni chenga sana.Wewe ni tapeli gari ipo ofisini kwetu magomeni na haiuzwi bei hyo wewe unakujaje kuitangaza kwa 5m?
Aliesema wa mlimani nani hapa?Naona mmekutana hapo,maana na nyie wa pale mlimani city ni chenga sana.
MimiAliesema wa mlimani nani hapa?
Karibu boss uje kuiona ipo sinza Vatican mawasiliano 0695022051Brevis 5,800,000[emoji848][emoji848]kuwa serious aisee
Pole yakoMimi
IshauzwaNitakujuza ndugu yangu kama itakuepo