Basi lenye Terias injini ya scania 113 hoarse power 320 body limetengenezewa kenya linauzwa lipo katika hali nzuri na hivi sasa linatembea na injini yake haijawai kuguswa.bei yake ni rahisi ambayo hata watu wahali ya chini wanaweza kumudu kwa mawasiliano zaidi
email.alexkakondele@gmail.com
phone.0765032151
kama uko serious ndio maana nimeweka mawasiliano yangu hapo picha nimeshindwa kuweka hata kama upo whatsapp au kwa email itakuwa rahisi kutuma picha
kama uko serious ndio maana nimeweka mawasiliano yangu hapo picha nimeshindwa kuweka hata kama upo whatsapp au kwa email itakuwa rahisi kutuma picha
Kama kweli ni zuri na liko katika hali nzuri kwa nini liuzwe bei rahisi? Usituletee biashara za kichaga hapa
Mkuu weka bei na picha bwana, huoni wenzako matangazo yao
Bei kasema jamani Mil.50,haya mnunue sasa mana mlivyoambiwa bei ya kutupa sijui mlijua mil.5Bei muhimu?
Na hujasema Odometer, Reg. Number, CC
Bei muhimu?
Na hujasema Odometer, Reg. Number, CC
Basi lenye Terias injini
ya scania 113 hoarse power 320 body limetengenezewa kenya linauzwa lipo
katika hali nzuri na hivi sasa linatembea na injini yake haijawai
kuguswa.bei yake ni rahisi ambayo hata watu wahali ya chini wanaweza
kumudu kwa mawasiliano zaidi bei ni tzsh mil 50,000,000 sababu ya kuuza
ni kutokana na matatizo yaliyotokana na benki kama unataka picha na info
zaidi naomba tuwasiliane
email.alexkakondele@gmail.com
phone.0765032151