Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
inaonekana iko vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ina cylinder nne au Sita?Toyota Hilux Double Cabin
Namba A
Mwaka_1992
Injini_3L
Cc_2800
Manual
Inatumia Diesel
Bei tzsh_ 10,000,000/=
Haidaiwi Tra,Gari ni nzima ipo Tanga mjini
Mawasiliano 0765032151
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
HUYO HATA UKIMKUBULIA HIYO NNE UNAFIKIRI ATAITOA...ZAIDI YA KUTAKA KUCOMMENT TU UZI WAKOnne hailipi mkuu
Chukua.Kula 4M
Chukua.
Huko shuleni ulienda kusomea ujinga? Punguani Waheed!!!!
mrangi Naona ushafika kwenye thread zako ovaaHUYO HATA UKIMKUBULIA HIYO NNE UNAFIKIRI ATAITOA...ZAIDI YA KUTAKA KUCOMMENT TU UZI WAKO
OVA
Ohoooo!!!Na wewe huwa unabageini?Kula 4M
Ohooooo!!!HUYO HATA UKIMKUBULIA HIYO NNE UNAFIKIRI ATAITOA...ZAIDI YA KUTAKA KUCOMMENT TU UZI WAKO
OVA
Duh!!!Chukua.
Huko shuleni ulienda kusomea ujinga? Punguani Waheed!!!!
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]La baba'ko?
HUYO HATA UKIMKUBULIA HIYO NNE UNAFIKIRI ATAITOA...ZAIDI YA KUTAKA KUCOMMENT TU UZI WAKO
OVA
Duuuh aiseeeeeh!Cash, tena huko huko Tanga nmamtuma punguani mmoja kama wewe akailete.
Kula 4M
your so terrible in writing skillsKula 4M
We ajuza wacha kutuchawia hapa .....Kula 4M
Hahaha sawa nasubiriaaa uichkue mimi Nipe hela ya udereva bibi bossiCash, tena huko huko Tanga nmamtuma punguani mmoja kama wewe akailete.