dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Mkuu hujiulizi toka uanze kutangaza lkn hyo gari haitoki!!? Kwa gari hizo na bei hiyo kwa sasa na corona hii daaa, anyway kila la kheri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni laki mbili na nusu au milioni mbili na nusu,huenda ikawa umezidisha sifuri moja.maana sikuelewiToyota Starlet
Namba A
mwaka 1992
Engine_4E_FE
Cc_1331
Automatic
Inatakiwa kubadilishwa mabush na rangi
Gari ipo tanga mjini
Bei Tzsh 2500000/=
Mawasiliano 0765062114/whatsap 0759399805View attachment 1418257View attachment 1418258View attachment 1418259View attachment 1418261View attachment 1418262View attachment 1418264View attachment 1418267View attachment 1418269
Sent using Jamii Forums mobile app
punguza UTANI mkuuToyota Starlet

Inatembea hata mita mia kweli? Naona umelazimisha kuipigia picha hapohapo bila kuisogeza hata kidogo na unaona kuna ukuta unazuia usipate picha vizuri