Mhhhh hapo sio garage?
Ukinunua used ya kichina itakula kwako. Mchina anafaa kwa miaka miwili tu ya kazi. Baada ya hapo kulaza watu njiani ni kawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhhh hapo sio garage?
hapo zipo kuoshwa
shuka bei kidogo tufanye biashara. linaweza kaguliwa lini?
Lori aina ya ERF linauzwa lipo katika hali nzuri na linatembea ni Hoarse pamoja na tela lake Tela ni aina ya Traledo kutoka uingereza lina leaf spring pamoja na busta vyote kwa pamoja vinauzwa milioni arobaini (40,000,000) lakini unaweza kulipia nusu tukaandikishiana makubaliano maalum. 0765032151
Hii gari mikoani inaweza kufka mkuu kwa jinsi ulivyoizoea.?be honest mkuu tufanye biashara.!!