Tata 2007 model COACH BUS (LHD), 94538
Gari hii inauzwa being ni milioni thelathini na tano (35,000,000).Ipo katika hali nzuri na unywaji wake wa mafuta ni mdogo sana inatumia diesel,ina siti 55.
Pia tunauza mabasi aina ya yutong,Marcopolo Andare class,Irizar pamoja na Scania zenye mabody yaliyo chongewa Nairobi.Yutong zote tulizonazo tayari tumeshafunga Engine,Gearbox,Diff za high speed na Front axle za Scania.bei zetu ni kuanzia
30_60 kwa scania zenye local fabricated body
80_100 YUTONG
90_100 MARCOPOLO ANDARE
100_IRIZAR.
Gari zote ni nzima na zinafanyakazi