- Thread starter
- #261
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa namuona siku nyingi sana ananifata fata kwenye biashara zangu mkuu, sasa leo namsubiri anipe hiyo Crown ya 12m nilipie asbh....kibiashara ukiipata gari kama hiyo Chassis Number kweli kwa bei hiyo, huwezi kuiacha...Lazima ulipie.
.
Kwa viwango vya ushuru vya sasa hivi vya TRA na TPA gari kama hiyo itaku-cost sio pungufu ya TZS. 16.5m mkuu....TRUST ME OR ASK SOMEONE YOU TRUST IN AUTHORITIES
.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo 12m unapata Crown chassis???CIF ni 2400,kodi,port charges,registration number,bima na 200,000 ya agent jumla nilitoa 6,845,000,hizo usd 2400 nilichange kwa tsh 5,367,000,hivyo chukua 5,467,000+6,846,000 unapata jumla
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni Crown Royal Saloon ambayo market price yake huwa ni pungufu ya Athlete...Ok tuseme na Crown Athlete kama hii yangu pia utaibahatisha kwa 15m..... [emoji848] sasa yangu ninayouza hapa ni pungufu ya hiyo bei ya 15m na negotiations zipo.... na tayari utakuwa umeokoa mwezi mzima wa kusubiri na baadhi ya risk za kuagiza na kusubiri. Na price ina-include registration pia....Unasemaje? [emoji848]Kodi: 8.3m
Bei ya gari: 6m
Gharama za kuclear bandarini ~ 700k
Total = 15mView attachment 1361159View attachment 1361160
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief nakusubiri uje na analysis nyingine ya 2006 Toyota Crown Athlete though [emoji848]Kodi: 8.3m
Bei ya gari: 6m
Gharama za kuclear bandarini ~ 700k
Total = 15mView attachment 1361159View attachment 1361160
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuwekea attachment hizo mbili kujustify my point ya bei sio tofauti sana. View attachment 1371060Chief nakusubiri uje na analysis nyingine ya 2006 Toyota Crown Athlete though [emoji848]
.
Hii ni bahari na mbingu
Sent using Jamii Forums mobile app
Athlete na Royal bei hazilingani ndugu, ndio maana nilisema gari kama hii ninayouza kwa viwango vya ushuru vya sasa huwezi kuipata chini ya 16.5m.Sijawahi own Toyota Crown. So sijui tofauti kati ya athlete na royal saloon but from what i physically saw hizi gari hazina tofauti kubwa interms of price and engine. Nimekuwekea attachment hizo mbili kujustify my point ya bei sio tofauti sana. View attachment 1371060View attachment 1371061
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikutegemea na nilikuwa nakusubiri kwa hamu MSHE*NZI mkubwa wewe...Niletee Crown kama hiyo kwa hiyo bei ya 12/13 nikulipe kesho asbh na mapema MPU*UZI mkubwa. Kazi kuharibu biashara za watu tu.
.
Halafu uje pia kwenye ule uzi wa RANGE ROVER ya 32m, sijakuona mpaka sasa.
.
Karibu MSHAMBE**NGA mkubwa wewe mwenye tabia za kike
Sent using Jamii Forums mobile app
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza.Ohoo. Mbona kwa hasira sana mkuu. Si ungejibu kwa hoja!
Acha kuibia watu kiboya mwenye kutaka kama hiyo ninayo nauza 13mlNilikutegemea na nilikuwa nakusubiri kwa hamu MSHE*NZI mkubwa wewe...Niletee Crown kama hiyo kwa hiyo bei ya 12/13 nikulipe kesho asbh na mapema MPU*UZI mkubwa. Kazi kuharibu biashara za watu tu.
.
Halafu uje pia kwenye ule uzi wa RANGE ROVER ya 32m, sijakuona mpaka sasa.
.
Karibu MSHAMBE**NGA mkubwa wewe mwenye tabia za kike
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ufungue uzi wako uposti uuze hata buku ni yako hakuna atakae kushangaa lakini kuingilia biashara za watu na kuchafua hiyo ni udumavu wa akili yeye anauza gari yake kwa Bei anayotaka yeye Nini tatizo au Ni roho mbaya na chuki tuAcha kuibia watu kiboya mwenye kutaka kama hiyo ninayo nauza 13ml
Povu kama manaraSi ufungue uzi wako uposti uuze hata buku ni yako hakuna atakae kushangaa lakini kuingilia biashara za watu na kuchafua hiyo ni udumavu wa akili yeye anauza gari yake kwa Bei anayotaka yeye Nini tatizo au Ni roho mbaya na chuki tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Athlete na Royal bei hazilingani ndugu, ndio maana nilisema gari kama hii ninayouza kwa viwango vya ushuru vya sasa huwezi kuipata chini ya 16.5m.
.
Vizuri umekuja na analysis ya Crown Royal uliyojumuisha kwamba ni 15m, sasa hii yangu ni Athlete na ninauza 14.7m na still negotiating table ipo na registration nakufanyia.
.
KARIBUNI SANA ZIPO 4 OFISINI KWA BEI HIYO HIYO
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakaye nunua hiyo gari atakuwa fala sana. Crown iliyotembea Tz toka 2015 ununue kwa 11ml wakati ukiagiza wapata kwa 12 hadi 14
Sent using Jamii Forums mobile app