Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

CIF ni 2400,kodi,port charges,registration number,bima na 200,000 ya agent jumla nilitoa 6,845,000,hizo usd 2400 nilichange kwa tsh 5,367,000,hivyo chukua 5,467,000+6,846,000 unapata jumla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kodi: 8.3m
Bei ya gari: 6m
Gharama za kuclear bandarini ~ 700k
Total = 15m

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kodi: 8.3m
Bei ya gari: 6m
Gharama za kuclear bandarini ~ 700k
Total = 15mView attachment 1361159View attachment 1361160

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni Crown Royal Saloon ambayo market price yake huwa ni pungufu ya Athlete...Ok tuseme na Crown Athlete kama hii yangu pia utaibahatisha kwa 15m..... [emoji848] sasa yangu ninayouza hapa ni pungufu ya hiyo bei ya 15m na negotiations zipo.... na tayari utakuwa umeokoa mwezi mzima wa kusubiri na baadhi ya risk za kuagiza na kusubiri. Na price ina-include registration pia....Unasemaje? [emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Athlete na Royal bei hazilingani ndugu, ndio maana nilisema gari kama hii ninayouza kwa viwango vya ushuru vya sasa huwezi kuipata chini ya 16.5m.
.
Vizuri umekuja na analysis ya Crown Royal uliyojumuisha kwamba ni 15m, sasa hii yangu ni Athlete na ninauza 14.7m na still negotiating table ipo na registration nakufanyia.
.
KARIBUNI SANA ZIPO 4 OFISINI KWA BEI HIYO HIYO

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ohoo. Mbona kwa hasira sana mkuu. Si ungejibu kwa hoja!
 
Acha kuibia watu kiboya mwenye kutaka kama hiyo ninayo nauza 13ml
 
Acha kuibia watu kiboya mwenye kutaka kama hiyo ninayo nauza 13ml
Si ufungue uzi wako uposti uuze hata buku ni yako hakuna atakae kushangaa lakini kuingilia biashara za watu na kuchafua hiyo ni udumavu wa akili yeye anauza gari yake kwa Bei anayotaka yeye Nini tatizo au Ni roho mbaya na chuki tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia bei ya crown athlete nimeweka attachment ambayo ni sawa na royal saloon zinarange 6m-6.5m.
Sorry nini tofauti ya athlete na royal?
Maana zote engine ni 4GR with same interior and exterior specs.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…