Mi mwenyewe nimecheka balaa, yule mwamba aliyeuliza kazingua kwani mtoa tangazo kaweka maelezo muhimu yote halafu anaibuka mtu mmoja asiye makini anaulizaMkuu nipo ofisini na umenifanya nimecheka kwa sauti mpaka kila mtu kanigeukia,kweli simu zinawehusha
Huyo aliyekosoa kupigia picha garage ilibidi atoe solution picha zipigiwe wapiUsijae upepo .chukulia chanya mawazo ya watu.
Sioni sababu ya kupanick wakati gari kwa macho tu,imesimamia ukucha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi mkuuHuyo aliyekosoa kupigia picha garage ilibidi atoe solution picha zipigiwe wapi
Ni ushauri tu,kama vile isivyofaa siku ya kwanza kuripoti kazini halafu umachelewa.Huyo aliyekosoa kupigia picha garage ilibidi atoe solution picha zipigiwe wapi
Kumbe ulikuwa ni ushauri mkuu? Basi ushauri wako siuchukui kwa sbb hujanipa solution yoyote ile ya wapi niwe napigia picha.Ni ushauri tu,kama vile isivyofaa siku ya kwanza kuripoti kazini halafu umachelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si mimi.Kumbe ulikuwa ni ushauri mkuu? Basi ushauri wako siuchukui kwa sbb hujanipa solution yoyote ile ya wapi niwe napigia picha.
.
Nashukuru sana kwa ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa alilenga kuwa maeneo ya gereji yanaonesha gari ina kasoro/matatizo ya kiufundi.Kumbe ulikuwa ni ushauri mkuu? Basi ushauri wako siuchukui kwa sbb hujanipa solution yoyote ile ya wapi niwe napigia picha.
.
Nashukuru sana kwa ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaJamaa alilenga kuwa maeneo ya gereji yanaonesha gari ina kasoro/matatizo ya kiufundi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fair CommentIpo kama manual... gear leaver yake kama manual na ina tacometer ya engine rotation
Gari ya ukweli sana.. na bei nzuri sana.. tatizo vyuma tu vimenikaba mimi
HahahaaaaWewe dalali au mmiliki?? Halafu hizo picha niza MTANDAO